Kero za kwenye daladala: Askari wa usalama barabarani kama hawapo

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
129
Gari za abiria hazina seat belt hususani Coster , Abiria wabakalishwa 5 _ 5 alafu eti , kuna chama cha kutetea Abiria

Juhudi za Rais zinarudishwa nyuma na Askari wahusika wa hii kitu
 
Kama utaki izo kero nunua lako mbona simple tu mkuu

Kwanini unakuwa na jaka moyo nunua lako utaweka sit belt hadi kwenye breaks
 
Unazungumzia Daladala za Dsm? Zinaumuhimu mkubwa sana 1. Ni fines wanazolipa 2.....
 
Gari za abiria hazina seat belt hususani Coster , Abiria wabakalishwa 5 _ 5 alafu eti , kuna chama cha kutetea Abiria

Juhudi za Rais zinarudishwa nyuma na Askari wahusika wa hii kitu
Wewe abiria unaekubali kupangwa kama ndizi kwenye mkungu ndio una matatizo.

Mko abiria 30 mnaburuzwa na konda mmoja alievalia surusli juu ya suruali chini ya makalio!
 
Haya ni majibu ya hovyo kabisa.

Sio ovyo mkuu hiyo ndo reality kubali ukatae

Unavutia kwako umesehau kuwa wale wanafanya kazi hawako kuuza sura

Alafu simple ni ww kununua gari yako kama utaki izo kero hakuna mchawi zaidi ya ilo

Work hard nunua gari yako alafu tuone kama utasema majibu ya ovyo
 
Wewe abiria unaekubali kupangwa kama ndizi kwenye mkungu ndio una matatizo.

Mko abiria 30 mnaburuzwa na konda mmoja alievalia surusli juu ya suruali chini ya makalio!

Tena unakuta eti konda anawakoromea na wananywea,, aisee sijawai kuona Taifa lina watu waoga kama Tz,,,

Yaani kondakta anawapanga kwenye gari anavyotaka, ,,seat ya watu Wanne wanalazimishwa wakae watu watano na wenyewe wanakubari eti,,,mijitu ni mioga balaa,

Gari imeandikwa mbele na sumatra kuwa MAKUMBUSHO VIA POSTA kupitia SINZA
, Lakini yeye anaacha kupanda gari anamsikiliza konda anaetangaza tunaishia manzese au kagera, na yeye kweli hapandi bwana kwa kumuogopa kondakta maana kashatangaza eti,, aisee nchi ina watu wajinga na waoga
 
Sio ovyo mkuu hiyo ndo reality kubali ukatae

Unavutia kwako umesehau kuwa wale wanafanya kazi hawako kuuza sura

Alafu simple ni ww kununua gari yako kama utaki izo kero hakuna mchawi zaidi ya ilo

Work hard nunua gari yako alafu tuone kama utasema majibu ya ovyo
Kwahio kama huna gari ndio ukubali ukiukwaji wa sheria na taratibu? Una mengi ya kujifunza kuhusu maishs.
 
Na kero nyengine ni abiria kutoa noti ya 10, saa kumi na mbili asubuhi, eti konda akate tsh 400. Ee nyie abiria wenzangu epuka adha ya kucheleweshewa chenji yako au kuisahau kabisa. Kabla ya kulala hakikisha una nauli yako kamili au angalau tsh 1000 kama una tsh 10,000 watume hata watoto dukani kwa mangi wakanunue sukari nusu ili upate chenji.
 
Kwahio kama huna gari ndio ukubali ukiukwaji wa sheria na taratibu? Una mengi ya kujifunza kuhusu maishs.

Yes niko na mengi ya kujifunza sikatai

Ila wewe unadhani kwamba ndo wakwanza kuona iyo kero na kwa taarifa wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kuona iyo kero

Ila fahamu thats the system either you like it or not you have to admit it
 
Gari za abiria hazina seat belt hususani Coster , Abiria wabakalishwa 5 _ 5 alafu eti , kuna chama cha kutetea Abiria

Juhudi za Rais zinarudishwa nyuma na Askari wahusika wa hii kitu
Wewe mwenye askari akiwasimamisha akauliza kuna tatizo??
Unlijua jibu tunalotoaga......
 
Yes niko na mengi ya kujifunza sikatai

Ila wewe unadhani kwamba ndo wakwanza kuona iyo kero na kwa taarifa wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kuona iyo kero

Ila fahamu thats the system either you like it or not you have to admit it
Thats the system in your head. Wengine hatufanyiwi huo ujinga kwasababu tunajua haki zetu. Wewe endelea kupangwa kama ndizi.
 
Back
Top Bottom