Naona Kuna malalamiko mengi kuwa kwanini matukio ya uhalifu yanatokea lakini maeneo hayo kunakuwa na ulinzi wenye silaha.
Tukumbuka matukio ya vituo vya Polisi vilivyovamiwa na wahalifu wakaua...
Utawala huu wa Magufuli hatujibu hoja hata iwe ukweli kiasi gani sisi tunajibu matusi, na kulaumu chama cha kijana kwa kila jambo.
Tunataka mabadiliko lakini hatujajiaandaa kubadilika, kitu...
Naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Anjelina Mabula, atoa sababu za bomoabomoa kwa niaba ya serikali kuwa: 1. ujenzi holela, 2. ramani za mipango miji hazifuatwi.
Je, kila...
Upoteaji wa mafaili katika mahakama za mkoa wa Dodoma umekithiri hasa mahakama za mwanzo wilaya na mahakama za ardhi.Hii inasababisha haki ya mtu kuchelewa.Utakuta kesi huarishwa mara tatu mpaka...
Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa mafuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi?
Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania.
Naomba kujuzwa...
Yaani hawa jamaa wa ajabu sana ukiangalia vipindi vyao kuanzia asubuhi mpaka unaenda kulala ni Fiesta tu.
Taarifa ya habari ni Fiesta tu masikini wa Mungu yaani hata kama mna hamu na pesa acheni...
Nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye low productvity Duniani, lkn karibia kila Mtanzania anadai Mshahara mkubwa, sasa huo Mshahara mkubwa utatokea wapi kama hakuna productivity?
Kampuni yoyote...
Si jambo la siri au kificho kwamba kuna ufisadi mkubwa, tena wa kutisha uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha. Mtu anaweza kushangaa au kuuliza kwanini Mkuu wa Chuo...
Kwa nini chadema wamehamaki sana na huyu jamaa? Wengi wameongea lkn hkn mtu ambaye mpaka sasa amewatoa chadema shimoni kama huyu, kuna anayejua labda zaidi for starters?
Habari wadau, naomba wenye fact mje tujadili . Ukiitishwa uchaguzi leo wa usawa na haki kati ya CCM na CDM nani atashinda?
Naomba tuchangie kwa fact, point to point, Jazba, matusi visiwepo kwan...
wakuu amani iwe nanyi,
wataalam wa kubet jamani naja kwenu,naomba mnifunze jinsi ya kubet,na ni kampuni ipi nzuri kwa ajili ya betting.
Tafadhali andika hatua kwa hatua
Leo katika viunga vya Sokoni Kariakoo mzungu mmoja alituhumiwa kumwibia Mama wa Kibongo hela kwenye pochi yake hali iliyopelekea kupewa kibano na raia wenye hasira kali hadi polisi walipofika...
Wakuu naombeni ushaur wenu mdogo wangu amesomea udereva sasa alikua anashughulikia leseni akapata ndugu yetu akamwambia yeye Ana mtu anamjua tra atamuunganisha nae huu sasa ni mwezi wa pili...
Ukisoma kitabu cha Hesabu utakutana na visa vingi vya kuchekesha na kufundisha.
Kimoja wapo ni kile cha Uasi wa Korahi mlawi ambaye huku akisindikizwa na watu 250 waliadhimia kuupindua uongozi
wa...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Michael Isamuhyo amewaonya vikali askari wote vikosi vya JKT nchini wanaojihusisha na vitendo vya kunyanyasa raia kwamba watachukuliwa hatua...
Mfadhaiko ni hali inayotokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja.
Mambo kadhaa...
Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakishuka katika Ndege kwenye Uwanja wa Seronera jana.
SHIRIKA la ndege la Precision Air (PW) jana lilizindua safari zake za Serengeti mkoani Mara, kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.