Tofauti ya gaidi na terrorist

Tofauti ya gaidi na terrorist

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
f0236d3e4dbfaab299244b0c9fbae61a.jpg


GAIDI kwa Kiswahili in maana nyingi zikiwemo jambazi (bandit) mpiganaji vita vya msituni (guerilla) TV gaidi (guide) haramia (plunderer) mwizi wa kutumia nguvu (robber) na mwizi (thief).

Kama mtakumbuka wapinaji wa msumbiji wa RENAMO waliitwa magaidi kwa sababu walijichimbia msituni.

Vilevile neno terrorist linatafsiriwa kimakosa kwa kiswahili kuwa ni sawa na gaidi.

Majambazi, vibaka, na wapiganaji wa msituni hawaitwi terrorists kwa kingereza.

Terrorist ni neno lililoundwa maalumu kuelezea mtu anaefanya mashambulizi yasiyo ya halali hasa dhidi ya raia kwa madhumuni ya kufanikisha malengo ya kisiasa.

ter·ror·ist
ˈterərəst/Submit
noun
1.
a person who uses unlawful violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims.
"four commercial aircraft were hijacked by terrorists"
synonyms: extremist, fanatic; More


IRA wa Ireland waliitwa terrorists kwa jinsi walivyokuwa wakipiga mabomu mitaani kama meteraristi wa hivi leo.

Sasa basi aliyeuwa mashoga Orlando alitamka wazi madhumuni yake yalikuwa ni ya kisiasa kuwaunga mkono ISIS.

Huyu babu wa jana Vegas hakutaja madhumuni yake, wala hana historia yeyote ya kisiasa ndio maana kumuita terrorist inakuwa ni vigumu. Ingawaje vyombo vya habari vimipigwa shinikizo na kuna vilivyofikia kumuita ni terrorist wa ndani ya nchi

Waswahili ni wazuri sana kwa kutunga maneno mapya ya kihuni lakini kwenye maneno ya maana kiswahili kimedumaa kinaendelea kukopa maneno ya kigeni. Mpaka leo computer inaitwa kompyuta.
Na wakijitahidi kutengeneza maneno mapya yanaishia kuwa ya vichekesho kama jokufu na kiyoyozi.
 
Unawezaje kufafanua au kutofautisha vitu viwili vilivyo kwenye lugha tofauti? Sema kwanza gaidi kwa jina moja la kiingereza ni nani sio kuleta majina zaidi ya kumi hadi mwizi wa kuku umemfanya kuwa gaidi. Nyumbu wewe
 
Weka sawa mkuu hakuna TV gaidi.
 
Unawezaje kufafanua au kutofautisha vitu viwili vilivyo kwenye lugha tofauti? Sema kwanza gaidi kwa jina moja la kiingereza ni nani sio kuleta majina zaidi ya kumi hadi mwizi wa kuku umemfanya kuwa gaidi. Nyumbu wewe

Sio tafsiri zangu:

gaidi in English
gaidi


bandit { noun }


guerrilla { noun }


guide { noun }


plunderer { noun }


robber { noun }


terrorist { noun }


thief { noun

----------------------------------------------------

ter·ror·ist
ˈterərəst/Submit
noun
1.
a person who uses unlawful violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims.
"four commercial aircraft were hijacked by terrorists"
synonyms: extremist, fanatic; More
 
Back
Top Bottom