Tofauti ya tajiri mzungu na mwafrika

kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,232
2,481
Kuna swali huwa najiuliza hivi ni kwanini wazungu wengi wakipata hela sio malimbukeni kama sisi Wafrika. Kwa waafrika uvaaji wetu, mahusiano na wasio nacho unakuwa tofauti sana na wazungu kwani huwa hawabadirishi sana ile 'style' yao ya maisha ya kila siku.Tatizo letu wafrika ni nini?
bill gates and googles.jpg
GARI-JEURI.jpg
 
PRESIDENT OF SIERRA LEONE-KOROMA (1).jpg
PRESIDENT OF URUGUAY.jpg
PRESIDENT OF URUGUAY-HOUSE (1).jpg

angalia msafara wa Rais wa sierra leone halafu tofautisha na gari na maisha ya Rais mstaafu wa Paraguay
 
Ndio maana pia hawakawii kufilisika,ila ukae ukijua kuwa formula ngumu ambayo watu wengi wanashindwa kuifuata ni kuwa ili uwe Tajiri ubahili lazima ukuhusu,hasa kama utataka kutajirika kwa kutumia mbinu za kawaida kabisa ambazo hazihusishi matumizi ya nguvu za ziada kama vile wizi,ujambazi,michezo n.k.
 
Ndio maana pia hawakawii kufilisika,ila ukae ukijua kuwa formula ngumu ambayo watu wengi wanashindwa kuifuata ni kuwa ili uwe Tajiri ubahili lazima ukuhusu,hasa kama utataka kutajirika kwa kutumia mbinu za kawaida kabisa ambazo hazihusihi matumizi ya nguvu za ziada kama vile wizi,ujambazi,michezo n.k.

Yeap
 
Ukiwa unatumia nguvu na mibavu kwenye utafutaji wako, hata matumizi yako yatakuwa ni ovyo ovyo na ya ufujaji wakujue wewe nani, ndiyo WaAfrica...


Ukiwa unatumia akili kwenye utafutaji wako, hata utumiaji wako utakuwa ni wa kistaarabu na kiakili zaidi...



cc: mahondaw
 
Tajiri wa Kizungu hafikirii KIFO/KUFA kuziacha mali zake...!

Tajiri wa Kiswahili/Kiafrika huwa anajua kutumbua kifo chaja...!!
 
Hata mtuseme vipi mimi siachi bia na papuchi, sasa hela unatafuta za nini wakati kuna mabikira wengi tu wa kujirusha nao
 
Hila wabongo hatuna jema mtu akiwa na hela akiishi km hvyo bill gates mtasema utajiri wa kishirikina haruhusiwi kumiliki vitu
vizuri akiishi kama mayweather anatumia hela vibaya.
 
Hila wabongo hatuna jema mtu akiwa na hela akiishi km hvyo bill gates mtasema utajiri wa kishirikina haruhusiwi kumiliki vitu
vizuri akiishi kama mayweather anatumia hela vibaya.
Kweli kabisa kuna jamaa kitaa ana sheli mbili na nguo kama za Bill anaitwa mchawi daily
 
Tofauti kubwa pia inayochangia hayo uliyoainisha ni mazingira tofauti katika jamii walizokulia. Matajiri weupe asilimia kubwa wamekulia kwenye Family (Father & Mother) Household structure na kupata elimu na mafunzo ya maisha mapema. Tofauti na matajiri weusi ambao kwa asilimia kubwa wamekulia kwenye Single Family (mostly raised by Mothers or Grandmothers) na kukosa msingi bora wa maisha tokea mwanzo. Mtu anakua kwenye mazingira magumu, hata mlo wakati mwingine unakuwa wa tabu. Achilia mbali akiingia kwenye system ya serikali (CPS) akiwa mtoto....case and point Mike Tyson. Then baadae mtu anakuja kupata hela ndefu, ni lazima atafanya mambo ya kufuru kama kina Floyd Mayweather and the likes.

Try to understand the struggle of a Blackman everywhere in the World before judging a brotha.
The struggle is real, let's keep Hope Alive.
 
Back
Top Bottom