Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kifupi hivi ni vyuo alivyosoma Daudi Bashite katika ngazi za Diploma na Degree ya Kwanza. Mbegani ni chuo cha uvuvi kiko Bagamoyo na Muccobs kinajulikana ni chuo cha Ushirika kiko Moshi. Sasa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
====== TRA imesema kuwa, namba za magari zilizofanana ambazo zinasambazwa mitandaoni ni za siku nyingi, na zilishafanyiwa kazi.
5 Reactions
171 Replies
28K Views
Wanaukumbi, Radio Imaan HISTORY Radio Imaan is the Religious media owned by The Islamic Foundation...
8 Reactions
55 Replies
15K Views
Wakuu nimesikia kuna mbongo kauawa south na alikua muuza sigara/fegi mitaani. Hii ni aibu sana kwa taifa, yaani mtu ukimbie nchi uende south kuuza fegi? Halafu unajiita diaspora. Hawa ndio sababu...
1 Reactions
74 Replies
9K Views
Zifuatazo ni Mboga ambazo kiukweli siku hizi zinauzika na zinaenda kwa kasi sana kuliko ilivyokuwa huko nyuma ambazo kwa haya maeneo ya ' Kitajiri ' nakumbuka hizi mboga zilikuwa zikinunuliwa na...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Nilipotonywa kuwa leo kutakuwa na Press conference ya Jerry Muro, sikutaka kabisa kuikosa. Sikutaka kuikosa kwa sababu sikumjua kabisa kijana mwenzangu huyu pamoja na kuwa anadai Taifa zima...
31 Reactions
75 Replies
11K Views
KIJANA WA KIUME MIAKA 19 ENZI ZA WAHENGA Ameoa tena ikibidi harusi kabisa na suti juu. ananyumba kajenga mwenyewe... sio tegemezi kwa wazazi wake... anauwezo wa kuendesha familia bila wasiwasi...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
KWAKO Waziri Mwigulu Nchemba. Askari wetu/wako 8 wameuliwa na majambazi. Tunashukuru kuwatambua kwa majina yao, vyeo vyao na miili yao. Sasa, tumeambiwa ulikuwa ni vita. Kwamba askari wetu nao...
0 Reactions
6 Replies
926 Views
Naona kuna inatrend sana hapa kilankukicha ni uzi maalumu, uzi maalumu. Mara wa kupeana likes, mara sijui waliosoma na viongozi, Mara walionini nini sijui. Sasa Huu ni uzi maalumu kwa nyuzi...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Habari za wakati huu. Nataka mjworld amba katika ukanda wa Africa mashariki makerere university ya Uganda imeendelea kufanya vizuri, Imeshika nafasi ya 12 kusini mwa jangwa la sahara na 1486...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je wa kwako yuko hivi? 1. Ubongo - mwanamke anaubongo uliounganika (more connected) kuliko mwanaume. Hii inamfanya mwanamke kuweza kufanya mengi wakati mmoja kuliko mwanaume 2. Mawasiliano -...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
salaam wadau.. Hivi mwafahamu kuwa New York city ya marekani ina uchumi mkubwa kuliko nchi nzima ya Russia. New York`s GDP ni 1.56$ trillion Russia GDP ni 1.27$ trillion Miongoni mwa sababu...
8 Reactions
37 Replies
8K Views
Let's bet together!
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Dunia imejaa watu wenye mila na tamaduni tofauti ila kuna baadhi ya mila/tamaduni ni za ajabu kidogo lakini kwa wengine wanaona ni za kawaida. Kwa mfano kuna kabila moja huko INDONESIA wao kila...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa. Yetu macho!
0 Reactions
106 Replies
8K Views
Nisiwachoshe Nataka kuweka bayana kwamba upelelezi huru ni muhimu sana katika mazingira yetu kama nchi. Upelelezi huru ni njia mojawapo kuu ya kuisaidia polisi wetu ambao wao wenyewe kila siku...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Hatari sana!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waasalam Wakuu Kama mnavyojua watanzania wanapenda sana biashara za kuigana jambo ambalo ndio sababu biashara nyingi huwa zinafeli. Toka mwaka 2015 watanzania wengi wenye vihela kidogo walivamia...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom