kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 325
- 172
Viongozi wa dini wana jukumu kubwa la kuleta amani ,na utulivu duniani.viongozi wa dini wana uwrzo wa kuzuia uhalifu,na hata kukomesha kabisa ,lakini kama itakuwa kinyume,basi chuki inaweza kujengeka miongoni mwa jamii,kauli za waumini wa dini ziwe za kujenga na si za kubomoa,dini zote ni nzuri na lengo ni kuisaka amani duniani