Tuache maneno, tuanze kufanya kazi

Tuache maneno, tuanze kufanya kazi

Joined
Aug 8, 2017
Posts
72
Reaction score
84
Sasa hivi watu tumeanza kujikita kuongea tu juu ya viongozi wetu na kujisahau kuwa tuna jukumu la kufanya kazi kujenga nchi kwa vizazi vijavyo.

Nguvu kazi ni sisi
 
Asante kwa Ushaur. Ila Humu sio pahala pake.
 
Sasa HV Watu tumeanza kujikita kuongea tu juu ya Viongozi wetu na kujisahau kuwa tuna jukumu LA kufanya kazi kujenga nchi kwa vizazi vijavyo...
Nguvu kazi ni sisi
Kama USA hadi wanabore dunia oh Mara trump hivi, vile mmmh!
 
Back
Top Bottom