mkuchika umelogwa?

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao warudishi...nahisi umerogwa au ndo magamba yanawasha
 
Magamba yanamuwasha huyo siyo bure. Mbona hawapigi mkwara Kagoda warudishe hela haraka?
 
ndo ivyo,acheni kuwanyanyasa watanzania serikali
 
kosa moja haliondolewi kwa kosa jingine, hawa vijana walichukua hela wakalala mbele kwa nini wasirudishe, kutetea kila kitu hata kama ni ujinga,mwe! nyie mitu mukoje!
 
Dah kweli kuna wa2 wengine mnatetea ujinga,hao walimu wamekula pesa za kujikimu na wamekimbia shule huku watoto wakitanzania wakikosa elimu,wewe unawatetea na kusema waliokula wasirudishe,so unataka nchi iende wapi?
 
hii inji kila kitu kinachaka chuliwa! asa wenetu c ndo wanakuwa mambumbumbu?? hivi hakuna nji nyingine nikahamiaa,nimeichoka hii y kichakachuaji kila uchao problem zinazaliwa jamaniii
 
Haya ni matokeo ya vijana kutokuwa na uzalendo; unachukua posho ya kuanzia maisha halafu unalala mbele. Tuwazomee hawa vijana, tuwe mstari wa mbele kuisadia serikali yetu ili warudi sekondari kata wakafundishe ili tuwapate wapiganaji huko vijijini.
 
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao warudishi...nahisi umerogwa au ndo magamba yanawasha

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Dah kweli kuna wa2 wengine mnatetea ujinga,hao walimu wamekula pesa za kujikimu na wamekimbia shule huku watoto wakitanzania wakikosa elimu,wewe unawatetea na kusema waliokula wasirudishe,so unataka nchi iende wapi?

WABORESHE MIUNDOMBINU NA HALI ZA WALIMU..HAIWEZEKANI KWENYE TAASISI ZA SERIKALI WATU WALIPANE MAPOSHO YA KUFA MTU NA MAFUNGU YA VITAFUNWA YANATENGWA HUKU WALIMU WANABAKI KUTEGEMEA MSHAHARA BILA HATA POSHO HASA WALIOKO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU YA VIJIJINI..FEDHA ZA LIKIZO NI MBINDE KUPEWA..EPA, KAGODA, DEEP GREEN, MEREMETA NA UCHAFU MWINGINE NDIO WAPIGIE KELELE....:rip:CCM KWA KUCHEZEA MAISHA YA WATANZANIA.
 
:banplease::welcome::plane: ''' hii inji kila kitu kinachaka chuliwa! asa wenetu c ndo wanakuwa mambumbumbu?? hivi hakuna nji nyingine nikahamiaa,nimeichoka hii y kichakachuaji kila uchao problem zinazaliwa jamaniii ''

Sasa ndugu yangu woote tukisema tuikimbie inji hii tutaenda wapi? Na inji tutamwachia nani? Mkuchika anaeleweka - ni mtu asiye na upeo wa kutanganua mambo, yeye kinachokuja kichwani basi hicho hicho si mnakumbuka alivyoaibishwa na vyombo vya habari? Wa kupamabana nao ni wote tu akina Kagoda na hawa waalimu wasio waaminifu wanaotaka kujifunza ufisadi mdogomdogo!
 
Ndugu George Mkuchika.. Kiongozi mwenye maamuzi tata na haiba ya jazba... Sijajua tija yake ni ipi lakini naona hekima za Rais Magufuli zimeona ni vyema akarudi kuiongoza Wizara ya Utumishi na Utawala Bora.

Muda utaamua!
 
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao warudishi...nahisi umerogwa au ndo magamba yanawasha
HAHA HUYU SI ALIPIGA KURA KUSINI HAKUSHINDA
 
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao warudishi...nahisi umerogwa au ndo magamba yanawasha
umelogwa=umerogwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom