PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,821
Hebu tujikumbushe ni ndoto gani/zipi tulizowahi kuota ambazo hazikuwa nzuri kiasi kwamba tulivoshtuka toka kwenye hizo ndoto tulishukuru sana kuwa afadhali zile ni ndoto tu sio uhalisia
Kwa upande wangu ndoto niliyowahi kuota ni ile ya kuibiwa gari la kampuni ambalo nililichukua kinyume na utaratibu wa mwajiri wangu na kwenda nalo mkoa tofauti ambako ndiko lilipoibiwa...nakumbuka nilivoshtuka toka kwenye ile ndoto nilijikuta mwili wote umelowa kwa jasho