Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na habari kuwa zombie amefulia na kuwa sasa anatumia kagari kadogo bro wangu wa kitaa ambaye anahusika na mambo flan flan alilazimika jioni hii kunichukua tukamtembelee na tukakutana naye...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Wananchi wa eneo la Dundani Mkoani Pwani, wamekuwa wakikilalamikia kiwanda wa kuchoma taka kilichojengwa Kata ya Mkuranga. Kiwanda hicho huchoma takataka zilizotoka Hospitalini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nikifikiria Tanzania tangu, leo mtu anasimama jukwaani anasema "hii ndio Tanzania ninayoitaka" sielewi kabisa. Leo ukerewe siku ya pili bila umeme. Bado TANESCO ipo, mkurugenzi kitambi mbele...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu! Kwanza niwapongeze mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa jitihada kubwa za kukusanya mapato ya nchi yetu, jukumu muhimu sana katika hatua za kujitegemea kama taifa. Katika siku za...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Habari ndugu zangu. Kwa sisi ambao ujana umeanza kufika ukingoni (mwanzo wa mwisho), tumekua tukijizatiti na kujiimarisha sana muda huu ukizingatia ndio muda wetu wa kuamua unafikia mwishoni...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Timu ya Maofisa wa Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya ziwa ikiongozwa na meneja wa kanda Bw.Lawi Odiero wamefanya oparesheni kabambe ya kukamata na kuwafungia wasambazaji na watoa huduma ya KEBO TV...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale mlio na ticket za FastJet kipindi cha mwezi huu na ujao jiangalieni msije mkaachwa au kukuta mnaenda mapema mno airport. FastJest wamebadilisha na kuvuruga ratiba yote ya kuondoka kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika taarifa za Habari zote mbili kuanzia ile ya Saa 2 na ile ya kutwa nzima ya Radio One ambayo huwa ni Saa 4 usiku ambazo zote leo zimesomwa na Mtangazaji ' Mwandamizi ' kabisa Abdallah...
20 Reactions
176 Replies
16K Views
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye ongezeko kubwa la watu wenye ugonjwa wa akili ambao wataalamu wa afya ya akili wanasema unarudisha kwa kasi ari na ufanisi wa utendaji kazi na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu mbalimbali, Mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na Marginalized populations wote, nitashughulika na kusaidia malazi, chakula...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi kwani ni lazima kwenda kumuona Tundu Lisu? Kwa nini Watanzania tuna hii tabia ya kupenda kupangiana jinsi ya kuishi? Tanzania hata msiba usipoenda unasemwa, ni kwa nini tunakuwa wajinga namna...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
>wasichana waliokuwa wakifagia ofisi za waalimu >wale wote waliokuwa maskauti >waliokuwa viongozi wa TYCS,UKWATA,HUIMA n.k >waliokuwa wanapika kwenye nyumba za walimu >Waliokuwa wagonga kengele...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii. Vigogo wawili wa chuo cha uhasibu (TIA) jijini Dar es Salaam, leo wamepandishwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili, la...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari ndogo la abiria (hiace) likiwa na abiria limetumbukia ziwani wakati likijaribu kuingia kwenye kivuko cha Kigongo Ferry jijini Mwanza, watu watatu tu mpaka sasa wameokolewa Chanzo: Radio Free...
4 Reactions
170 Replies
30K Views
Rebistuta bukoli shinyanga,,,mswiiiiima Ernest sumbawanga,,, martha ngwilla mbeya ben kiko tabora huyu nilikuwa nampenda sana ktk habar za michezo hasa kipindi cha timu ya Mirambo ya tabora iko...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ndugu wazalendo na watanzania wenzangu. Ndugu zanguni kwanza poleni sana na mkazo wa vyuma unaoendelea, najua mnaumia sana, mimi pia. Huwezi amini imefika mahala hata wife amenambia aanze...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
POLISI Mkoa wa Shinyanga, inafanya uchunguzi kuhusu tukio la kupatikana kwa mifupa inayodhaniwa kuwa ni ya binadamu katika Bwawa la Tinde lililopo Kijiji cha Nyambui Kata ya Tinde wilayani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mmiliki wa kampuni ya utalii ya Nyumbu Traders ya Moshi,David Shemweta amefariki kwa ajali ya gari iliyojeruhi watalii 2.Polisi yathibitisha
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Maswali mengi ya mezuka baada ya ripoti ya TRA juu yamakusanyo ya tirion 3.65 moja ya maswali hayo wame zikusanya wapi wakati chanzo kikuu cha mapato ni bia na watu awanywi bia siku izi na wengine...
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Baadhi ya wakazi wa Tinde mkoani Shinyanga wameokota mifupa inayodhaniwa kuwa ni ya binadamu katika bwawa la Jomu wakati wakitafuta maji. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom