TRA naomba mnipe kazi ya kukokotoa hesabu zenu. Si kwa uzembe huu jamani

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
9bf575b36c8e14bc1bce077e7e3bb0d0.jpg

52e8e138239dcc85611023a8238fc9d3.jpg

Kweli nimeanza kuelewa kwanini vyeti vianze kukaguliwa kama kweli vinaendana na uwezo wa mtu.
 
Failure is central to engineering. Every single calculation that an engineer makes is a failure calculation. Successful engineering is all about understanding how things break or fail.
 
Tufanye hiyo shilingi moja haijakusanywa, itabadili nini?
Kuna vitu vidogo vidogo vya kuangalia na kuachana navyo, ni vidogo sana impact yake ni negligible.
Realy. Alafu kesho mje mjitambe eti nyie ni wazalendo wa Tanzania.

China kosa kama hili unanyongwa. Katika hesabu, kukosea digit moja ni kosa kubwa sana. Mwasibu ukikosea digit moja unaweza shitakiwa kwa kosa la kucheza na data kwa malengo yako binafsi.
 
Mkuu unataka aliyekosea hapo anyongwe?
Sio kila kitu kifanywe siasa.
 
Kama kuna makosa ya tarehe na kujumlisha, yawezekana jumla ndogo ndogo zote zilikosewa na hata tarehe na miezi isiyohusika. Maelezo ya ziada yanahitajika.
 
Sawa ni kosa lakini siyo kwa kiwango ulichochukulia serious kwa sh moja tena imetokana na kujumlisha point iwe sababu ya kuomba ajira kuwaa waliopo au kifaa kushindwa kuijumlisha sh moja.
 
Back
Top Bottom