Hivi kuna dawa ya kufuta makovu ya mishono?

Hivi kuna dawa ya kufuta makovu ya mishono?

Zipo ingawa matibabu yake ni ghali kidogo, na kama sijachanganya matibabu yake hupatikana ughaibuni.
 
Nuhu dawa ipo kama tube ya dawa ya meno inaitwa Silverex nenda pharmacy yeyote ila ni ghali kidogo maana dawa ina madini ya fedha ila bei utamu du. Mwanangu ujinga wa utoto alichora chata kwenye mkono nikapewa hiyo dawa ikatoka ila alivopona nilimpa dawa ingine ya kumchapa viboko asirudie tena
Inauzwa bei gani mkuu?
 
Kovu ni kumbukumbu ya jambo lililokupata,Usifute :Ni sawa na mwanamke baada ya kumtoa Bikra aanze tafuta dawa ya kuirudisha wakati ile ni alama kwamba Kishatombana
 
Back
Top Bottom