earth quick in Hollywood. Harvey weinstein Hollywood producer mogul anashutumiwa kwa kubaka na kunyanyasa wanawake movie stars ..Mara atake kuogeshwa na mengoineyo Ili wapewe kazi na movies na wawe mashuhuri.JE WEWE iimeshawahi kukutokea Hilo .Shuleni professor nitakupa majibu ukiwa na Mimi .Share your story