Big Dy
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 496
- 615
Jana kulikua na Habari muwekezaji mkubwa Africa Dangote kumkosoa bulldozer juu ya sheria zake kuwabana wawekezaji na kufanya wengine wakimbie kuja kuwekeza.
Leo asubuh serikali kupitia msemaji wake imemjibu mfanya biashara huyo kuwa hajui taratibu za uwekezaji nchini, really? Mtu amewekeza zaid ya nusu ya Africa leo umwambie hajui sheria? Kwa hilo lazima serikali ikubali makosa kama kweli inataka kuwa nchi ya viwanda