Dada aliyefaulu na kuzawadiwa gari

Dada aliyefaulu na kuzawadiwa gari

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,160
Nimekaona haka Kadada kanaitwa Ana kabyemela kamefauru vyema na kupewa gari


 
Inamaana huu uzi umeuweka saa Saba usiku, wee hulali unamuwaza mtoto wa watu
 
Hata anachoongea hakieleweki na I level yake nilichogundua hapo ni tangazo la biashara ya waja maana mwishoni anasema wote mnakaribishwa waja
 
Back
Top Bottom