Hivi kwa mtandao wa simu kutuma promotion messages au kupiga simu za matangazo ya huduma zao mpya kwa wateja wao hadi usiku wa manane. Ipo ndani ya vigezo na masharti ya kuwa mteja wa mtandao...
Kila siku duniani watoto zaidi ya 20,000 wanafungishwa ndoa wakiwa chini yanumri na kinyume cha sheria
Hii ni sawa na watoto milioni 7.5 kwa mwaka kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na benki ya...
Nimemuona Prof. Anna Tibaijuka kupitia youtube aklialamikia kodi ya Tshs.12m kwa ajili ya Shule yake ya Sekondari. Binafsi naungana naye ni kwa nini kuwepo na kodi ya majengo kwa Shule za binafsi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa miezi sita kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari nchini kuanzisha madawati ya ulinzi na usalama wa watoto kwa...
Wana JF sijawahi kufika Nairobi, nataka kwenda kutembea angalau kwa wiki moja, natokea DSM nitumie mabasi gani ambayo yanaaminikaa? Nauli ni bei gani? Ni hoteli gani naweza kufikia kwa mimi wa...
Miaka sita iliyopita, niliandika thread hii Nitafikisha Miaka Mitano Kama Memba wa JF.
Utaona kuwa miezi michache ijayo nitakuwa nafikisha miaka 11. Nina mpango wa kufanya sherehe kubwa sana...
Wasalaam!
Namshukuru mungu kwa uzima nna uendelevu Wa jukwaa!
Kama mwanamaombi Wa nchi yangu nimefika mahali naona haya maombi yanaenda kinyume nyume hali nahisi huenda haya maombi yanaenda kwa...
Tumemaliza uhakiki wa vyeti ulioambatana na uwasilishaji wa salary slip, cheti cha kuzaliwa au kiapo, kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha Taifa pamoja na Barua za ajira.
Je, tunapotangaza...
Mim nimeagiza gari aina ya harrier old model 2001..nataka niweke bima ya gari ..je shirika lipi la bima ambalo halina longo longo wakuu..natanguliza shukrani
Nashindwa kuelelewa kusudio la Jpm katika hili analodai anapambana na mafisadi nchini naona sawa na mtu anaye fanya kazi ya kupakia mafuta kisha anaoga bila sabuni akitoka anaenda kuwacheka wasio...
Mie ni kijana na nimeamua kujiajiri kwenye kilimo.
Kilimo kwangu ni ajira na nategemea kilimo kujikimu kwa maisha yangu.
Msimu wa kilimo nililima mahindi kwa gharama kubwa sana yani kuanzia...
KAPTULA LA MARX
Hiki ni moja ya vitabu vilivyowahi kuandikwa kwa ustadi mkubwa na Prf. E kezilahabi juu ya mfumo wa uendeshaji maisha katika taifa hili ambalo pamoja na mifumo yake mingi limekuwa...
Ningependa kuona TIC kituo cha uwekezaji nchini kikibadilika kimtazamo kutoka huu mtazamo wa sasa.
Naamini bado TIC imejikita kwenye uwekezaji katika rasilimali zilizopo nchini pekee mfano...
Baada ya kauli yako ya leo na yeye kuonekana kuisoma kupitia hapa JF,amedai usubiri kifuatacho ITV kama alivyoahidi kulipua bomu.
Sisi wengine kwa sasa ni watazamaji tu.
Nimewazaaaaaaa,nikafikiri kuwa na mimi naweza kupost kama Polepole hapahapa JF
1. Leo nimeokota hela. Nakishukuru sana chama cha mapinduzi. Hii ndio CCM mpya buana (In H.Polepole's voice)
2...
Dar es Salaam.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amesema uhakiki wa vyeti ni changamoto aliyokumbana nayo alipokuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Mkemia Mkuu wa serikali Profesa Samuel Manyele ametoa sababu inayowafanya kupima mkojo wa watu wanaotuhumiwa uhalifu mbali mbali, jambo ambalo liliibua mzozo mkubwa lilipotakiwa kufanyika kwa...
Habari Wakubwa.
Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.