IGP Sirro, umemsoma mwanadada yule wa ughaibuni?

IGP Sirro, umemsoma mwanadada yule wa ughaibuni?

Baada ya kauli yako ya leo na yeye kuonekana kuisoma kupitia hapa JF,amedai usubiri kifuatacho ITV kama alivyoahidi kulipua bomu.

Sisi wengine kwa sasa ni watazamaji tu.
hana lolote huyo dada zaidi ya kupewa kichwa na watu tu kupelekewa umbeya tu.

Tusubiri hilo alisema kuhusu jeshi la polisi.
 
Mimi nimelidharau sana hili aijipii. Siyo mwerevu iq yake ndogo. Kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye vyombo vya habara akawa anaturingishia mademu wanavyompenda Hadi wanamsumbua usiku wa manane kwa simu Na mesej eti wewe hendsam nimeipenda ile kofia yako.

Yani hovyo kabisa nalidharau kupita maelezo.
 
Ha ha ha.....Mange....homa ya Jiji.....

Amuongeze na Jerry Muro
 
Ila Tz kuna upumbavu na wapumbavu sana.
Yani linaibuka limtu halina hata haya et ni marufuku kumtaja na kumjadili lissu? Heee very shit kabisa.

Ni marufuku pia kumzungumzia Pogba Myweather kama ndo hivo.



Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app

hahahaaaaaaa

wanakela hawa wazalendo

ndio maana yanakufa pole pole ndani ya mili yao, mazambi mengi mno

huge position they accomplish nonthing
 
Back
Top Bottom