Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu mara ya mwisho wakati wa utawala wa mzee ruksa ndio ilikuwa mwisho wa wana usalama wetu kukamata mali uwanja wa ndege kipindi hicho waziri wa mambo ya ndani ni liyatonga mrema,vikosi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa sana ya watu hufanya jambo pasipo hata kuchunguza, ebu fikiria mtu kama huyu kajenga fremu za maduka kibao hadi sasa takribani mwaka Wa NNE hajapata wapangaji, wakati huo watu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau, kunatetesi kuwa Mkataba kati ya Maxcom Afrika (Maxmalipo) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama barabarani umekwisha na hawajaongezewa muda tena. Tetesi hizo zipo baada ya...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
1 kutokuwa mbinafsi na mtu anayejipambanua kuwa anaweza kutenda kwa maslahi ya Umma 2 ni mwadilifu, ni mtu ambaye uadilifu wake hauna shaka hata kidogo yaani sio mdokozi wa mali za Umma, sio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi wakulima wa zao la korosho hasa wa mikoa ya kusini walikuwa hawanufaiki na kilimo cha mazao hayo kutokana na sababu mbalimbali kikubwa ni kutopewa kipaumbele. Serikali ya awamu ya...
1 Reactions
0 Replies
990 Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza naomba kuorodhesha haya maswali; 1. Binadamu aliyekutwa akilelewa na Nyani yupo wapi? 2. Yule alitengeneza Helikopta Tunduma aliishia wapi? 3. Amani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika maisha yangu hili jambo naona la ajabu sana pale mtu anapoandaa sherehe kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa maswali ninayojiuliza kuna umuhimu gani wa hii sherehe kwa yeye kuwepo hapa...
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Wasalaam wakuu. Nikijite kwenye mada. Nimekua mhumini kwa muda mrefu kwa makanisa mbalimbali ila kwa msingi wa hoja yangu sitayataja. Makanisa mengi idadi kubwa ni masikini na wale wenye...
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Binti mmoja katika kijiji cha asali na maziwa, kijiji ambachokiimeenziwa kwa misingi ya haki na usawa, kijiji kilichokuwa kimejaawazee wa hekima na busara, kijiji ambacho hakikuruhusu hata siku...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Muungwana kauli na vitendo. Ukisema ushindane na mwenda wazimu utageuka nawe kuwa mwenda wazimu. Ndio maana na matusi yote dhidi ya asili za kiarabu, wenyewe hawana habari wanaendelea kujenga nchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitambo kidogo kimepita,nadhani itakuwa kama mwezi hivi,nilisikia taarifa kupitia kwenye chombo chetu kimoja cha habari,nadhani itakuwa ITV, kwamba wazee wasiojiweza wanajengewa makazi bure kule...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa Uchunguzi uliofanyiwa chanjo mbili tofauti za ugonjwa wa Ebola umebaini kuwa chanjo hizo zinaweza kumkinga mtu kutokana na virusi vya ugonjwa huo kwa...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kufuatia kukithiri kwa matukio ya majanga ya moto mkoani Ruvuma,mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Binilith Saatano Mahenge ameziagiza halmashauri za wilaya kupitia idara za ardhi na mipango miji mkoani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu,naomba msaada wenu wa bank ipi naweza fungua akaunti ya watu wawili like baba na mtoto,mke na mume au hata marafiki.Na wanahitaji kuwa na nyaraka zipi? Nawasirisha wakuu.
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Idadi kubwa ya watu linapokuja suala la pesa, wapo makini sana na tabia kama kupanga mipango mizuri, kutumia pesa kwa busara na hata ikiwezekana kubana matumizi ili kuhakikisha usalama wa pesa...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
video inayoenea mtandaoni ikisema fisi ameuwawa Ubungo Kituo Cha Mabasi. "Kwa mujibu wa BBC tukio limetokea kahama na sio Ubungo Pia kuna tetesi kuwa huyu fisi ni matokeo ya albadir iliyosomwa...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017. Huu ni ushindi wa tatu mfululizo tangu 2015. ====== Arusha — Mount Kilimanjaro, Africa's highest peak, has...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Zaidi ya nyumba 900 zimeteketezwa kwa moto na kusababisha kaya zipatazo 1000 kukosa mahali pa kuishi baada ya kamati ya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na wakala wa huduma za misitu nchini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kwa mtandao wa simu kutuma promotion messages au kupiga simu za matangazo ya huduma zao mpya kwa wateja wao hadi usiku wa manane. Ipo ndani ya vigezo na masharti ya kuwa mteja wa mtandao...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Back
Top Bottom