Teua Tengua ya Magufuli siielewi kabisa

chankele kigoma

Senior Member
Jan 12, 2017
199
118
Nashindwa kuelelewa kusudio la Jpm katika hili analodai anapambana na mafisadi nchini naona sawa na mtu anaye fanya kazi ya kupakia mafuta kisha anaoga bila sabuni akitoka anaenda kuwacheka wasio oga

Mimi napata wasiwasi kuwa inawezekana JPM anaweza akawa siyo msafi nakama nimsafi basi anaweza akawa hanamalengo mazuri nataifa letu badae

Kama kweli analipenda Taifa letu na anamalengo mazuri na lengo lake ni kupambana na mafisadi kwanini asijilipue kwa kuruhusu katiba ya Waliyoba ?

Asipofanya hivo anatudanganya na mwisho wa siku hata yeye atakuwa anakula nao mafisadi hao anaogopa nini kuruhusu katiba mpya
 
Tulia wewe mzee awaletee reli Kigoma,reli haijengwi kwa kuuza mawese reli inajengwa kwa kuyakaba mafisadi na kudhibiti madini
 
Back
Top Bottom