mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 904
- 1,286
Wasalaam!
Namshukuru mungu kwa uzima nna uendelevu Wa jukwaa!
Kama mwanamaombi Wa nchi yangu nimefika mahali naona haya maombi yanaenda kinyume nyume hali nahisi huenda haya maombi yanaenda kwa lusifa! Kwanini;
Tunaombea umoja na Amani: ila kwa matukio yanayoendelea...maiti kukutwa virobani, kutekwa na kutundulisiwa watu kunaongeza hofu!
Tunaomba maendelea- hali inakuwa minyume, watu wamevunjiwa nyumba walizodinduliza miaka 20 nyuma kupisha barabara itayojengwa miaka 5 mbele..makampuni na Biadhara zinafungwa na kupoteza ajira za wengi, shule hazina walimu Wa kutosha hasa baada ya sakata la vyeti feki, ..sasa lile ombi la ''mniombee''..naona kwangu linafika mwisho!! Naomba mniongeze hamasa!
Nawakilisha