kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
Kampuni ya Camel Oil ya Dar es salaam imeingia katika kashfa ya kughushi nyaraka za seirkali ili kujipatia ardhi na mali katika kiwanja namba 130 Kitalu A. Manzese jijini Dar es Salaam
Nyaraka zilizoghusiwa ni za umiliki wa hati ya Mohamed Khamis Faki ambaye ni mfanyabiashara wa kituo cha mafuta cha Manzese Filling Station kilichopo Manzese Tip Top chenye hati miliki CT 39320 Block A kilichosajiliwa mwaka 1992.
Camel oil inatajwa kughusi picha ya passport size na sahihi ya Mohammed Faki ili kujipatia umiliki wa ardhi iyo.