Kanisa la Catholiki Kimara kubomolewa

Kanisa la Catholiki Kimara kubomolewa

Waangalie kama wanaeneo la kutosha hapo kwa sababu huyu jamaa hana namna nyingine
 
Lipo karibu na bara bara kweli ila wangecheki namna nyingine daaa anyway acha libomolewe
 
halitabomolewa lote.. n mazabahu kidg tu itaguswa.
 
Wamevunjiwa wanachi wasio hata na pesa ya ugali, kanisa wana pesa watajenga kwingine..
 
Lipo karibu na bara bara kweli ila wangecheki namna nyingine daaa anyway acha libomolewe
Mbona mi naona liko mbali, basi na ile hospitali ya serikali pale lazima ipitiwe!! Na polisi pia kale kakibanda kao kimara bila kusahau parking ya sisiemu!
Pia ule msikiti.
 
ni kweli kanisa kupitia paroko wa kansa hilo Fr Chacha, na Baraza la maaskofu, walikili kwamba walikosea...

ila tumeishapa kiwanja cha gharama ya Sh 400Million...
 
Kanisa lilitakiwa lielewe toka mwanzo hilo eneo walilojenga ni barabara inamaana kanisa halikufuata taratibu za kutafuta hati na kujiridhisha kabla ya kujenga au kanisa likipata eneo lolote wao ni kuanza kujenga tu hayo ni makosa yaani katika waumini wote wakati wa ujenzi hamna aliyefuatilia hilo hii ni shida sana wabomoe tu kama ni eneo la barabara
 
ni kweli kanisa kupitia paroko wa kansa hilo Fr Chacha, na Baraza la maaskofu, walikili kwamba walikosea...

ila tumeishapa kiwanja cha gharama ya Sh 400Million...
Wapi au ndo mtaenda michungwani
 
Back
Top Bottom