Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

OKTOBA 10 dunia imeadhimisha siku ya afya ya akili ambayo huadhimishwa kila mwaka. Siku hii ambayo inatambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), kauli mbiu yake mwaka huu ni ‘afya ya akili mahala...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Benki kuu ya Tanzania imeonya watu wanaoharibu fedha kwa makusudi kwani ni kosa la Jinai. Imesema tabia hiyo huisababishia hasara serikali kwani inalazimika kuchapisha fedha mpya. Ameongeza kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani siku hizi ukiangalia taarifa ya habari azam two halafu ukaja ukaangalia na hizi tv nyingine yani unaona kama mazingaumbwe. Hawako detailed, mtu anaogopa hata kutingisha kichwa...
30 Reactions
116 Replies
13K Views
Kitaalamu anajulikana kama 'Ornithorhynchus anatinus' Tumezoea kuona mamalia wote wakizaa watoto kutoka tumbo la uzazi na kuwanyonyesha Hii ni tofauti kwa mamalia huyu anaejulikana kwa lugha ya...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga RPC Benedict Michael Wakulyamba, amethibitisha tukio la mtoto kuungua hadi kufariki kwa moto uliowashwa na mama yake kwaajili ya kupikia wilayani Handeni. RPC...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ijumaa, October 13, 2017 Mawakili wa utetezi wa aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha, wameieleza Mahakama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mama Maria Nyerere, amewaasa vijana kuzingatia utamaduni na michezo ili kuweka sawa akili zao. Amesema michezo hukutanisha watu wengi na kuwawezesha kubadilishana mawazo yenye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona habari ya Diwani wa Kawe nd Rwakatare kuwapa zawdi askari polisi wanaoonekana kufanya kazi yao vizuri. Nami nawapongeza askari hao. Lakini haswa hswa ji yule kijana askari mdogo anaitwa...
13 Reactions
23 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kukamata magari matano aina ya malori yaendayo minadani pamoja na abria 18 waliokutwa wamepanda malori hayo kinyume cha sheria. Siku chache baada ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtangazaji nguli mstaafu wa BBC SWAHILI SERVICE SALEH ALLY ALBERTO akizungumza kwenye kipindi cha RITA POULSEN kinachorushwa na AZAM TV alisema ukifananisha watangazaji wa zamani na wa sasa hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanaume aliyeponzwa na kinywa chake aliitwa Yeftha. Alikuwa ni mwana wa kahaba na kama haitoshi nduguze walimfukuza ili asirithi nao. Ila Israeli ilipovamiwa na Waamoni waisraeli walimtafuta...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wazima,, Sasa hivi hapa ,naona kila nikipiga naona CALL FORWARD ON CONDITION. Nimechek kwe call setting nakuta namba nyingine imekuwa Enabled. Simu yangu siku tatu mfullulizo sijampa mtu na ina...
2 Reactions
27 Replies
16K Views
Michezo ya kubahatisha huendeshwa kwa algorithm maalum (software) iliyokwisha kutengenezwa na wataalam wa hisabati inayo run kwenye machine maalum ya kuchezesha mchezo huo. Ile software lazima...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Je ni vyama vyenu?? Umoja wenu au nyinyi binafsi?? Ni nani wakuwasemea kwa Sasa kwamba mnaelemewa na kodi za nyumba Ada za watoto na hata wengine inabidi mkope nauli za kwenda kazini?! Ni nani...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari, Kumekuwa na nguvu kubwa kutushawishi kwenye uduma zenu za ttcl nasi tumeona tuunge mkono, maana ni shirika la umma, cha ajabu mmekuwa watu mnao toa huduma zisizo eleweka inakera...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kwema humu??? naomba kufaamishwa mwenye uelewa, hivi mende wanapitiaga wapi kuingia kwenye friji likiwa limezimwa??? nimejipanga kisaikolojia kwa kila aina ya jibu
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa kawaida Idara ya Hali ya Hewa huwa inatoa jinsi mvua itakavyonyesha kwenye kila kipindi mfano vuli lakini mpaka sasa hatusikia tamko kutoka Idara husika.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Takribani mwezi mmoja uliopita nilienda kigoma wilaya ya kasulu katika kijiji cha kabanga! Kulitokea tafrani ambapo mwananchi mmoja aliuwawa na wananchi wenye hasira kal(sitalizungumzia hili)...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Alafu hii tabia ya baadhi ya watu wanaotoka mjini kwenda mikoani na pakti mbili za unga wa ngano, lita mbili ya mafuta ya kupikia na nazi kumi halafu wakitaka kurudi mjini wanabeba kg 20 za...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimegundua choo cha umma cha Mbezi stand ndio kuna bei kubwa kuliko vyoo vyote nilivyowahi kuviona. Wakati gharama ya huduma za haja kubwa na ndogo karibu mahala pote ni...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom