c mimi nilietabiri tarehe hiyo mkuu....kuna sources nying za habari ndo wameelezeaUislam haujawahi kuamini ujinga huu...mwisho upo ila si tarehe uliotaja wewe mtoa mada.
pamoja mkuu...Yesu alishasema siku hiyo hakuna hata atakae nusa wala kuhisi wala kutabiri, siku hiyo itakuja ghafla.. cha msingi jiandaeni as if as mwsho wa dunia n sec moja ijayo
tushirikishane mkuu imeandikwa wap...ili wote tujue.....Mwisho mwisho yalisema maandiko lakini ni zaidi ya miaka 2000 imeshapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachofundisha bnaadam ni mabadliko tu ya kidunia n c mwsho wa dunia.... Ila, ww mtoa mada.... kwnz umeamua kupotoka mwnyw, pili unaipotosha jamii ususan ya wanaJF, nasema huo ni upuuuzi.... Uone ata aibu n mungu anakuona, lohh....Wakuu polen na shughul za hapa na pale kwa siku ya leo.Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.
Nijikite kwenye maada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017 pia manabii wakubwa wa Marekani wameelezea tukio hilo litakavyokuwa.PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
acha mawenge wewe!!..soma tena af urudiWanachofundisha bnaadam ni mabadliko tu ya kidunia n c mwsho wa dunia.... Ila, ww mtoa mada.... kwnz umeamua kupotoka mwnyw, pili unaipotosha jamii ususan ya wanaJF, nasema huo ni upuuuzi.... Uone ata aibu n mungu anakuona, lohh....
Sent using Jamii Forums mobile app