Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013
Baada ya Serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana Dangote huko London kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu Africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja.

Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha Mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald Mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 Africa

Reginald Mengi
Bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

Kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
 
hakuchafua ila ule mkutano ni kijiwe cha wadau kupeana abc za ku invest africa na wale ni marafiki zake sasa akiwa kama mdau aliye invest katika nchi 17 africa asiongee ukweli?hiyo sheria aliyoisemea ya 16 percent ni ya kwenye madini na imepita july this year ukweli ni kwamba investors wanaiogopa tz na wengine wanakimbia hata Mohamed dewji kawekeza hela nyingi mauritius na malawi ni kama vile hawaelewi elewi kinachoendela hapa na huu utamaduni mpya wa kutopenda kukosolewa hautufikishi popoteeeee
 
Inamaanisha sasahivi serikali ya magufuli haipendi iambiwe ukweli?
ndo higvyo ndugu huoni IGP yupo busy na mange kimambi wakati miili inaokotwa kwenye viroba baharini huku boss wake waziri akitoa majibu mepesi eti ni wahamiaji haramu wa kiethiopia .wale wana muonekano wa tofauti na wabantu ,tungejua tu ,wakiambiwa ukweli ni ugomvi wananuna,walahi nina hakika dangote anajuta sema ndo kawekeza hela nyingi sana inayoweza kujenga viwanja vya kisasa 21 vya mpira kama cha dar es salaam tukaandaa hata world cup..anajuuta aisee maana kapewa hadi mgodi wa makaa ya mawe aendeshe , kitu ambacho hakikuwepo kwenye business plan yake,ni usumbufu sema ni kawaida kwa watu wanaoendesha mambo bila plan.
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Huyu Dangote aliingia kuwekeza nchini kupitia Lumumba, akabebwa na mbeleko ya upendeleo mkubwa... Akakiuka taratibu nyingi za uwekezaji.... Likafunikwa kombe.....
Lilipokuja swala la kusitishwa uzalishaji wa cement yake akakimbilia tena Lumumba mpaka ikulu... Alifanya kosa kubwa sana.. Alitakiwa afuate taratibu zote za kisheria za uwekezaji kutatua tatizo lake..... Ila kama kawaida yake akatumia short cut... Hivi kila mwekezaji akifanya hivi tutafika kweli?
Natabiri huyu jamaa kufunga virago
 
nchi yoyote ya ki africa kuwekeza dollar million 620 kiwanda kimoja ni wehu kabisa..hela nyingi sana hiyo,kuna fununu hata ma lorry yale mengine yalishapelekwa zambia
 
huo utajiri wake km hauna tija kwa Taifa Aende zake huko asitujazie mafaili hapa!

Acheni utoto, unatija kubwa sana kwasisi tunaojenga kwa kuungaunga, cement twiga ilikuwa mpaka elfu 15000 sasa hivi sh. ngapi kama unafuatilia. Dangote tunamuhitaji sana kuliko anavyotuhitaji. Kawekeza nchi 17 zamaana ijekuwa ninyi na ccm yenu...ndo maana anawachana live coz kwake hapa kama kituo cha daladala stend kuuu ipo mbele
 
Huu uzi ningeuandika mimi
Na uhakika wa %100
Ungefutwa
Kweli nimeamini maneno ya Wahenga “Kufa kufaana”
Sio kufanana[emoji1321]
 
kivipi boss,uzi una ubaya gani huu?anyway mimi ni muhanga wa manyuzi yangu kufutwa na ban juu ila huu sioni tatizo lake

Muhanga utakuwa wewe.,,,,!!!???
Sema hivi,,tujibembeleze tu kwajinsi tulivojaaliwa demokracy yetu,,humu ndani lkn ipo siku tutaandamana tu[emoji1321]
Mfano hai
Wewe huipendi hii serikali na huishi kuisuta kwa mtazamo wako na kusikia medias zingine ndo ukaleta humu, Lkn wanaufuta na wanaku ban a,k,a kukuunguza (kama maiti ya wahindi baniani hawanaga garama
Ni kiberiti tu)
Mimi naipenda mnoooo serikali yangu hii ya magu tena
Saaaaana wa dam,,lkn nikiweka uzi unafutwa[emoji1321]
Hapo tunanyanyaswa mnoooo na hawa WAKUU WA Jf[emoji1321]
 
Dangote kaenda kutoa povu lake huko over Tanzania hebu jiulize kama uwekezaji wake ndan ya nchi kama marekani uende hovyo kwasababu tu ya figisu za whites over Africans riches angetoa povu kama hiyo?
 
Apunguze wahindi na wale wachina pale, kiwandani kwake kwani sisi hatuna vyeti.
 
Back
Top Bottom