Zipi ni sehemu nzuri za burudani Musoma?

Zipi ni sehemu nzuri za burudani Musoma?

Kwa msisi yetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
848
Reaction score
1,463
wiki ijayo naelekea kanda ya ziwa,musoma mkoa wa mara.Kwa wanaokaa huko ni viwanja vipi vikali kwa burudani na kupumzikia?
 
kulw watu wanavyo chinjana kama kuku sidhani kama kuna baa za maana wala club
 
Maeneo ya penisura km opposite na msoma hotel, pale pametulia au afrilax
 
Back
Top Bottom