Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisikia au kusoma maandishi ambayo yanamuelekeo wa kusema "fulani kaendelea"."Taifa fulani limepiga hatua katika maendeleo" au "maendeleo ni ushirikiano" au...
Katika kuwaza leo nimewaza hili!
Duniani tupo 7.4 billion nikajiuliza tuna madhehebu mengi sana na mengine ya amini miungu yao!
Ukianza na uislamu wao wanaamini Mungu sawa na christianis wote...
Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Dar es salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea wale wanaotumia mitandao ya jamii kumtukana Rais na kusisitiza kuwa wanaofanya hivyo wanawatukana...
Wakuu kuna mdau kanipa mil.2 taslimu nimuwekee kwa muda wa miezi mitatu,sasa kilichopo akilini mwangu imenijia idea kuwa within this time hivi hakuna mishe naweza nikaifanyia ijizungushe ili...
Habari wandugu?
Samahani naomba kuuliza kwa anayejua,
Hivi mgao wa Umeme umeanza tena?
Maana sielewi, tangu Baraza la Mawaziri lifanyiwe marekebisho huku kwetu Umeme unakatika kila siku...
Wandugu za Weekend,
Tukimuenzi pasipo hili si sawa, walivunja Azimio lile ndio wakazaliwa wapigaji wa mali za umma ndani ya serikali, kama akisikia tu Azimio la Arusha atacheka kwa furaha huko alipo
Kumekua kauli nyingi kuhusu kupandisha mishahara ya watumishi.
TUCTA, RAAWU, TUGHE na vinginevyo, vipo kimia linapofika swala lakutetea watumishi.
Kila siku uhakiki usio isha, hali ya kiuchumi...
Nchi hii sio ya mtu mmoja wala wachache kufurahi. Hela za umma zakununua madiwa zipo. Huko nikuchezea hela za walipa kodi. Hela zakuanzisha vimiradi hovyo hvyo bila mpangilio zipo. Yaani serekari...
Salam wakuu,
Kwanza Kabisa niweke wazi Mimi si muumini wa Mange na huwa sivutiwi naye hata kidogo kutokana na namna anavyoatack watu hadi familia zao.
Lakini kwa Mara ya kwanza leo nimeshtuka...
KWELI TUJIFUNZE KUPITIA HILI
Ebu tujikumbushe kidogo katika siku hii ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa HAYATI Mwl. Julius Kambarage Trh 14/10 na ikiwa ni miaka 18 tangu atutoke.
Mwl. Nyerere katika...
TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU
WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK
AMERICAN POST:
Hello, my name is Sandra Stone, I am from New
York, I love my husband so much and I can do
Anything...
Mfanyabiashara mchina ambaye amekuwa akifanya biashara zake Afrika na Uchina, ameweka picha kwenye jumba la makumbusho huko Uchina katika jimbo la Hubei.
Kwa hivi sasa hizo picha zimeondolewa...
Wanajamvi,
Nikama nawachosha, lakini ukiwa kwenye jukwaa hili uchovu wako peleka MMU ukatulizwe,
Naam naomba msaada wenu, mtanzania ama mzungu yeyote mwenye picha ya Hayati Baba wa Taifa Mzee...
Kuna mambo yanahitaji umakini, hofu ya Mungu na utulivu wa akili sana. Mchungaji Gwajima naomab unisamehe km nitatumia ulinganifu usio makini sana. Kwanza mimi sikuwa nakujua ,wala kukufuatilia...
The spiritual rest, which God particularly intends in this Commandment, is this:
That we not only cease from our labor and trade, but much more, that we let God alone work in us and that we do...
Hamjambo wadau?
Kumekuwa na tabia ya wahubiri injili, Wakiwemo wachungaji, mitume, manabii nk kuwa na ulinzi wa mabodigadi wa kutosha.
Pichani yasadikiwa ni mtumishi ambaye ameamua yeye binafsi...