Simabwachi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 306
- 394
Toka jumamosi 14/10/2017 kuna usahili wa Maafisa Watendaji mji wa Masasi.
Nafasi zilizotangazwa ni 81tuu na kati ya jumamosi na jumapili kumefanyika mchujo na wamebakizwa watu 241 (ratio nzuri) .
Kilichofanyika na kupata hao241 ndicho kilichopelekea kuleta habari hii hapa jamvini ili wahusika wafuatilie:
kuna watu wanaosemekana ni wafanyakazi wa hapa Masasi Halmashauri wamekuwa wakichukua pesa kuanzia 250,000/= Mpaka 600,000 kwa ahadi ya kuwapatia kazi hawa watoto..
Naomba TAKUKURU na Police wafuatilie suala hili mimi nitawasaidia kuwaonyesha hao watu, hapa napambana kupata ushahidi wa picha kwa sababu usahili unamalizika kesho