Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,940
Kwa kweli binafsi naona una haki ya kuwashitaki. Ila system zetu za kbongo sijuii.fb situmii
nina ushahidi wa screenshot ya confirmation sms na maelezo ya kifurushi, wataachaje kunilipa?
hahaha, Dirty minded
nilishikilia line lisaa + ili niwalaumu ubovu wa huduma kitengo cha huduma kwa watejaMimi leo nimewaka na Airtel Asubuhi asubuhi nadhani hawatakuja kunisahau na Wamenipa Salio langu na wakaniongeza na Fidia.
Yaani nikifikia hatua ya kuwapigia simu huduma kwa wateja huwa namwonea huruma atakayepokea simu yangu
Na huwa hawakati simu ya mteja mimi leo wamenikoma hawatarudia kucheza na salio langu.nilishikilia line lisaa + ili niwalaumu ubovu wa huduma kitengo cha huduma kwa wateja
Juzi tigo nimeweka salio kabla sijajiunga kifurushi nikaona ujumbe kuwa nimefanikiwa kujiunga na huduma ya vichekesho, jambo ambalo sikuwahi kulifanya hapo kabla wakachukua salio kidogo, nikawakaushia na kujitoa katika hiyo huduma,. Hawa watu wa mitandao ya simu wamekua wezi sana siku hiziMimi leo nimewaka na Airtel Asubuhi asubuhi nadhani hawatakuja kunisahau na Wamenipa Salio langu na wakaniongeza na Fidia.
Yaani nikifikia hatua ya kuwapigia simu huduma kwa wateja huwa namwonea huruma atakayepokea simu yangu
wamekupa stahili yako??Nimewapigia simu, wakaomba radhi,
sawaHapana bado sijapewa, lakini wameniambia nisubiri watanipigia simu kesho asubuhi