Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
479
Reaction score
1,065
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,

Labda niwaonjeshe baadhi ya hayo mabadiliko

  1. Kila niamkapo asubuhi huwa sijui Siku iyo ni tarehe ngapi.u
  2. Huwasijui ni Siku ganic
  3. Account zangu za bank zote zipo kichwani tofaouti na kipindi nafanya kazi.a
  4. Wakati mwingine nasahau bank nna kiasi gani cha fedha.
  5. Nawahi sana kuamka tofauti na kipindi kile nilipokua mwajiriwa yani nilikua naaamka kwa tabu sana.
  6. Nna marafiki ambao hata nikiitaji milioni tano usiku uhu naweza kumpigia mmoja cm na akanipa tena sio lazima aende bank,tofauti na kipindi kile elfu kumi kwa wafanyakazi wenzangu kukupa ni shuhulii
  7. Nikofree kusafiri kokote nnakotaka kwa muda wowote na kwa Siku yoyote siulizwi wala akuna wa kumuomba ruhusa zaidi tu kumuomba mungu nifike salam
 
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,

Labda niwaonjeshe baadhi ya hayo mabadiliko

1# kila niamkapo asubuhi huwa sijui Siku iyo ni tarehe ngapi

2# huwa sijui ni Siku gani

3# account zangu za bank zote zipo kichwani tofaouti na kipindi nafanya kazi

4# wakati Mwingine nasahau bank nna kiasi gani cha fedha

5#nawai sana kuamka tofauti na kipindi kile nilipokua mwajililiwa yani nilikua naaamka kwa tabu sana

6# nna marafiki ambao hata nikiitaji milioni tano usiku uhu naweza kumpigia mmoja cm na akanipa tena sio lazima aende bank,tofauti na kipindi kile elfu kumi kwa wafanyakazi wenzangu kukupa ni shuhuli

7#niko free kusafiri kokote nnakotaka kwa muda wowote na kwa Siku yoyote siulizwi wala akuna wa kumuomba ruhusa zaidi tu kumuomba mungu nifike salam
Kila mtu ajiajiri sasa kwa maana hiyo au....
 
Ni kweli ila huenda ajira yako ni ya mtu mmoja tu yaani wewe mwenyewe. Biashara binafsi ni ajira nzuri sana, ila pia ina challenges nyingi sana hasa pale unapokuwa umeajiri watu wengine; muda huo ukifika labda utapost kitu kingine tena hapa. Kuna wakati niliwahi kujikuta nagawanya mshahara wangu wa kazini kuwalipa baadhi ya wafanya kazi wa biashara yangu ndogo halafu mimi nikajilazimisha kuishi kwenye maji! Ups and downs hutokea sana katika biashara, inategemea sana na aina ya biashara yako.
 
Nakubaliana na wewe nilishapitia chamoto nyingi sana lakini sikukata tamaa
 
aya poa na hao uliowaajiri wanatamani nao wajiajiri,,,,nao wasahau siku kama wew
 
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,

Labda niwaonjeshe baadhi ya hayo mabadiliko

1# kila niamkapo asubuhi huwa sijui Siku iyo ni tarehe ngapi

2# huwa sijui ni Siku gani

3# account zangu za bank zote zipo kichwani tofaouti na kipindi nafanya kazi

4# wakati Mwingine nasahau bank nna kiasi gani cha fedha

5#nawai sana kuamka tofauti na kipindi kile nilipokua mwajililiwa yani nilikua naaamka kwa tabu sana

6# nna marafiki ambao hata nikiitaji milioni tano usiku uhu naweza kumpigia mmoja cm na akanipa tena sio lazima aende bank,tofauti na kipindi kile elfu kumi kwa wafanyakazi wenzangu kukupa ni shuhuli

7#niko free kusafiri kokote nnakotaka kwa muda wowote na kwa Siku yoyote siulizwi wala akuna wa kumuomba ruhusa zaidi tu kumuomba mungu nifike salam

Mkuu siju biashara yako ina mtaji kiasi gani,,imeajiri watu wengine,nani anaisimamia,ni ya mazao au kutoa huduma au kuzalisha?au kusafirisha?

kiukweli ukijiajiri raha sana sana sema nasikia kuna changamoto kama ukiumwa hela za matibabu kwa watoto...mkuu hakuna bima yeyote inayokukubali chini ya 4.5million,NHIF tuu ndo 1.6million tena uwe kwenye kikundi sasa wewe changamoto ya matibabu unaitatua vipi kama mtu uliejiajiri?

Pili..kipato chako hakina msimu leo umepata kesho hujapata unawezaje kukabiliana na matukio yasiotarajiwa ktk biashara kama kodi kupanda,TRA,Soko la biashara yako hapo hapo hela ya kula...coz kila siku lazima watoto wale na wasome na biashara ikue...

Ni Raha sana mkuu kujiajiri...inahitaji ujasiri pia...
 
Bima ya Afya NHIF kwa kikundi mwaka Jana ilikuwa 78,000. Na pale Jubilee walikuwa wanatoza 270,000 kwa bima ya familia isiyozid watu wanne .Labda uwe unaongelea threshold amount ya premium. Vinginevyo bima zipo nyingi na gharama nafuu.
Shida Ni pale kwa wagonjwa sugu.sijui wao wanautaratibu gan.
 
Hongera kwa upambanaji.

Hakuna kitu nafrahia kama kusaka ngawila ukiwa katika mazingira huru na kujipangia ratiba zako na kila uchao unazidi kutanua wigo wa kufahamiana na marafiki wenye tija ktk mihanjo yako.

Halafu ukiwa upande huu fursa zipo waziwazi kinachotakiwa ni wewe kujipanga kimashambulizi na ku diversify mtaji wako ili mwisho wa siku akaunti ijae!!

Wanasema, "woga wako ndiyo umasikini wako"

Tuendelee kupambana!!
 
Bima ya Afya NHIF kwa kikundi mwaka Jana ilikuwa 78,000. Na pale Jubilee walikuwa wanatoza 270,000 kwa bima ya familia isiyozid watu wanne .Labda uwe unaongelea threshold amount ya premium. Vinginevyo bima zipo nyingi na gharama nafuu.
Shida Ni pale kwa wagonjwa sugu.sijui wao wanautaratibu gan.
Mkuu hapana tena hapana kabisa
mi nazungumzia bima jubilee kwa mwaka ni 4.5millioni wiki iliopita tuu Kwa familia.
NHIF kwa familia 1.5million kwa mwaka,binafsi.ila ukienda kama vikundi ndo inapungua...
 
Naitamani hiyo biashara ambayo inafanyika pasipo kukumbuka tar ya Siku wala jina la Siku yenyewe. Pia unaweza kusafiri mda wowote na pesa ikaingia tu .
 
Back
Top Bottom