Kwanini Star-Tv ina vipindi vingi vya mahubiri?

Kwanini Star-Tv ina vipindi vingi vya mahubiri?

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,411
Tangu asubuhi nilkuwa natizama tv, ila chakushangaza niii startv kuwa na vipindi vingi vya mahubiri..

9c2a069e7f4c331f5aa0f7d7afb5fa8e.jpg

Chakujiuliza je ndo tv inayo tizamwa na watu wengiii????

Au coverage yake nikubwa sana nchini????
bad3aa533e3125d9cd412b90405dcec6.jpg


Au rabda wanarusha bureee???
a94382a5edb2fd83d39c8143f866af4e.jpg


Ukichunguza tv hii ndo tv yenye vipindi mahubiri vingi sanaaaaa
 
ni cheap!
huwez fananisha hii tv na itv au eatv na nyingnezo..
so ghatama zao ndogo ndo zinavutia hao wachungaji!
bila kumsahau swahiba wao channel ten
 
KWANI MUDA WA KAMPENI CHA CHAGUZI ZA CCM UMEANZA? HUWA HAWANA VIPINDI VINGINE TOFAUTI NA VILE VYA KAMPENI.SIKU HIZI WENGI TUKISHASIKILIZA KUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI HATURUDISHI MACHO YETU HUKO MPAKA KESHO YAKE KIPINDI CHA KUTOKA MAGAZETINI.WAMEFULIA
 
Tangu asubuhi nilkuwa natizama tv, ila chakushangaza niii startv kuwa na vipindi vingi vya mahubiri..

9c2a069e7f4c331f5aa0f7d7afb5fa8e.jpg

Chakujiuliza je ndo tv inayo tizamwa na watu wengiii????

Au coverage yake nikubwa sana nchini????
bad3aa533e3125d9cd412b90405dcec6.jpg


Au rabda wanarusha bureee???
a94382a5edb2fd83d39c8143f866af4e.jpg


Ukichunguza tv hii ndo tv yenye vipindi mahubiri vingi sanaaaaa
Hata channel ten nayo ina vipindi vingi ila ni bora coz nyakati za mwisho hizi so watu wanamrudia Mungu
 
Star Tv inawaumiza wengi sana
Kila kituo kina sera yake,mfano Azam huwezi kukuta,tangazo la pombe wala bahati nasibu
Acheni Star Tv wafanye kazi yao
 
Sioni kkkt au rc wakiwa na vipindi km hawa mitume na manabii
Wameamua kuchungulia fursa
 
Back
Top Bottom