tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Kila siku kuna mijadala mingi kuhusu uchumi wa Tanzania na takwimu zinazotolewa na taasisi za kitaifa na kimataifa zinaonyesha kukua kwa uchumi wa nchi yetu pamoja na malalamiko ya maisha magumu kutoka kwa wananchi.
Swali la msingi kuhusu sarafu yetu Shilingi je inapanda thamani yake au inaporomoka?
Swali la msingi kuhusu sarafu yetu Shilingi je inapanda thamani yake au inaporomoka?