Wanabodi poleni na majukumu.
Nafahamu kipindi hiki ni kipindi ambacho udahili ktk vyuo mbali mbali unafanyika. Kutokana na mchakato wa udahili kuwa tofauti mwaka huu, kumekuwa na matukio ya mtu...
Katika kuongeza uhakika wa kupatikana chakula nchini na ajira kwa vijana, Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote ameanzisha mpango wa kuwashirikisha wahitimu wa vyuo vikuu kulima mpunga...
Habari wakuu!
Naomba awali ya yote nitamke ya kuwa sina maslahi binafsi na sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.
Binafsi, nachukua hatua hii kuupongeza uongozi wa mkoa wa Dar, kwa jinsi...
Ama kwa hakika wasioujua mchezo wa namna hii na uchafu wa siasa zetu bado watabaki kuhangaika na kung'amua juu ya masahibu yaliyompata ndugu yangu Tundu Lissu ambaye binafsi nilifika jijini...
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe Joshua Nassari amesema kuwa hatokaa kimya endapo haoni hatua zinazochukuliwa.
Nassari amesema hayo leo Jumanne muda mchache baada ya Mkurugenzi Mkuu wa...
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA DR.MOKIWA KUPINGA KUVULIWA UASKOFU NA KUONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WADHAMINI WA KANISA.
.................................................
Mahakama Kuu, Dar es...
Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu, ametoa ruhusa kwa wakazi wa Jimbo lake kumwadhibu kwa kumpiga mawe iwapo atashindwa kutekeleza ahadi alizoahidi wakati wa...
Hii sms imetumwa kwangu na mtu nisiyemfahamu akinielezea jambo nisilolifahamu au hata kuwahi kuzungumzia.
''SHEMEJI LEO NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA ZA MGANGA WA JADI ALIYE NISAIDIA KTK BIASHARA...
Achana na punzi , achana na hela na mafanikio mengine, maana hata wachina wana mafanikio na hawaombi.
Hembu wakuu tupe jambo kubwa la papo kwa hapo ambalo lilitokea baada ya maombi. mimi sijawahi...
Wakuu salama!?
Poleni kwa majukum na pilika pilika za siku nzima, natumai hamjambo kabisa.
Leo nikiwa katika mihangaiko yangu nje kidogo ya mji wa dar es salaam, ghafra nikashikwa na kiu na...
Wanajamvi heshima zenu naomba kujua ukweli WA huu mti.. Nimeambiwa unahusishwa na mikosi. Magonjwa na mabalaa ktk nyumba ... Inatumika Sana Kama urembo na kivuli
Kuna kila ishara kwamba Chama Kikuu cha Upinzani nchini chadema kinafifia na kuelekea kutokweka kabisa 2020, sasa hili siyo jambo jema sana kwa demokrasia ya nchi yetu hata kwa taswira ya nch pia...
Kwa tukio la Lisu linatuonyesha kuwa ni jinsi gani neno kweli lilivyo na ghalama mbele ya wapinga Mungu.
Kwa historia yeyote ile haijawahi kuwa nzuli kwa wapigania kweli toka enzi za manabii...
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mhe.Khadija Nyembo akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella.
Rai hiyo imetolewa jana na wataalam wa uwekezaji katika masoko ya dhamana na...
Watu wengi sana wanasumbuliwa na hali ya kukosa shukurani. Ukimwambia mtu hivyo anaruka hapana mimi nashukuru kwa kila ninalopewa, ila ukweli unabaki kuwa tatizo hili linasumbua wengi. Na...
Baada ya kujisalimisha kituo cha polisi kwa wito wa Kamanda wa Polisi Dar es salaam , Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameeleza kuwa sababu ya kupekuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.