TANESCO MEATU:Tumeshinda bila umeme,mnataka pia tulale gizani?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,432
2,804
Tangu asubuhi wilaya nzima ya Meatu haina umeme.
Na kama haitoshi mpaka sasa hakuna dalili ya umeme kurudi.
Kuna mgao usio rasmi?
Mbona mnakata na kuwasha bila ya taarifa maalumu,na hii imekuwa ni kawaida.
Tumewakosea nini?
 
Back
Top Bottom