Mtu anaposema 'Mimi' anamaanisha nini au nani?

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
6,030
Reaction score
6,381
Habarini za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu hivi mtu anaposema mimi anamaanisha nini.

  1. Je ni mwili wake wote
  2. Hisia zake
  3. Ufahamu wake
  4. Roho yake

Lakini mbona katika hayo yote manne kwenye kujimilikisha hutumia neno vyangu, yani roho yangu, mwili wangu, nafsi yangu, hisia zangu huyo mwenye vyake ni nani?

NAOMBA KUWASILISHA

CC. mshana jr
 
Kuna uzi mmoja wa Apollo kaelezea kwa kirefu nikiupata ntakutag
 
Swali linauliza mtu akisema "mimi" anamaanusha nini au nani? Jibu huwa anamaanisha yeye kama "mtu" kiujumla.
 
Habarini za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu hivi mtu anaposema mimi anamaanisha nini.

  1. Je ni mwili wake wote
  2. Hisia zake
  3. Ufahamu wake
  4. Roho yake

Lakini mbona katika hayo yote manne kwenye kujimilikisha hutumia neno vyangu, yani roho yangu, mwili wangu, nafsi yangu, hisia zangu huyo mwenye vyake ni nani?

NAOMBA KUWASILISHA

CC. mshana jr
Hakuna mwenye chake hapo
 
Back
Top Bottom