Habari wana jamvi,
Nina rafiki yangu ni mjamzito, ila aliyempa huo ujauzito hajishughulishi kwa lolote, hatoi hata fedha kidogo wala kufanya lolote kuonekana anajali, sasa huyo bidada anajipanga akizaa huyo mtoto hata muita majina ya baba. Yaani surname atampa jina lake na ukoo wake only kwa sababu mwanaume hajishughulishi na chochote na hamna sababu ya kumuendekeza.
Hii imekaaje wadau? Japo wakati wa shule niliwahi kusoma aina za familia kuna matrilinear na Patrilinear.
Ushauri wenu naomba is it good?