Hii ya watafuta viewers inaniacha hoi

Hii ya watafuta viewers inaniacha hoi

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
yaani youtube ni kituko na ni masikitiko jamaa wanatafuta views kwa namna yoyote hatakama wanamchafua mtu hawaoni haya, je sheria za kimtandao hazifanyi kazi eti unakuta
imeandikwa title kama hii hapa nimestuka vibaya sana .seikali mko wapi
 
Ndio maana account nyinyi za youtube za bongo hazina ubora ni uongo uongo na ujanja ujanja
 
Wanalipwa ukiwa na Viewer wengi? Na kama wanalipwa kila view moja ni bei gani?
 
Wanalipwa ukiwa na Viewer wengi? Na kama wanalipwa kila view moja ni bei gani?
Mpaja ufikishe 10000views neo unalipwa malipo inategemea unataka wapromote ads zao kwa kiasi gani
 
Na YouTube ukish
a chungulia turn unaesabiwa Kuwait no viewer
 
Back
Top Bottom