Mashujaa wetu wa Congo Vs wa Tanga

mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,348
2,085
Habari za asubuhi GT, kwanza naomba nitoe pole kwa familia,ndugu, jamaa na marafiki wote pamoja na watanzania kama taifa kwa ujumla kwa kupotelewa na wanajeshi wetu waliokuwa huko Congo. Mungu azilaze roho za mashujaa wetu mahala pema peponi amina.

Nije kwenye pointi yangu, Jana katika taarifa ya habari ITV walionyesha dhahiri wakati mashujaa wetu waliuawa huko Congo wakipewa heshima yao ya mwisho, ni kitu cha kuonesha kuwa ni watu wetu waliojitolea maisha yao kulinda usalama wa wananchi.

Swali langu ni hili kwamba kuna askari walio poteza maisha yao huko tanga amboni miaka ya hivi karibuni wakiwa wanapigana na waliosadikika kuwa ni magaidi yaliyojificha kwenye mapango ya amboni, lakini hawakuruhusu kuona miili ya mashujaa wetu na kutoa heshima zetu za mwisho? Kulikuwa na tatizo gani?
 
????? tanga???
 
Unauhakika?
 
acha kutufundisha kufanya kazi yunahamua sisi ni ni cha kufanya kwa wakati gani usirudie tena kuuliza mambo haya kwewnye mitandao kwa maewlezo zaidi au ufafanusi fika ofisini kwetu.
 
Ofisi zenu ziko wapi mkuu
 
Back
Top Bottom