Msaada wanajamvi; nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na vitu viwili...

The genius62

JF-Expert Member
May 1, 2017
200
167
Wasalaam,,,Familia ya great Thinkers....

Kuna mambo huwa yananitatiza jamani,,nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na
vitu viwili,,,
1.feelings na utashi wa akili katka upambanuzi wa mambo au
2.unafanya kitu kutegemea mazingira mfano..unatakiwa ukalime kutokana na msimu wa kulima umefika..???? na sio unalima kwakua unajiskia kulima kwa wakati huo...

labda sijaeleweka yani ni kama hivi mtu anakula kwasababu anaskia njaa (feelings +utashi wa ubongo) au anakula kutokana na utaratibu wa kula i.e ule asubuhi ikifika mchana ule na jioni ule piaa cjui kama naeleweka jaman...

kadhalika unakuta mtu anakwambia "tumia akili bwana" ndo kufanyeje sasa inamaana watu kama wasomi wametumia akili??? wametumia wapi ss?? katika usomaji au??? ok watu wanasema yule jamaa anaakili kinoma huwa anafanyeje mpaka wanaona vile..lets say labda watu wapo chuoni pale wew ukienda kutafuta mtu anaetumia akili utampataje au ndo yule mwenye GPA kubwa??

kuna tofauti kati ya akili na ubunifu??

plzzz msaada jamani huwa najikuta nafkiria mambo meng ya ajabu cpati majibu

ReportEdit
+ QuoteReply
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom