Naona Ben Saanane akitokea katika maono

Naona Ben Saanane akitokea katika maono

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Mwenye hoja achangie maana sitaki kuleta siasa katika hili.

Hili neno litatimia na wengi tutakumbuka yale yaliyosemwa kwa muda mrefu. Hajawahi tokea, ila itatokea. Mkiona haya mjue mwisho wa tawala na watawala umefika mwisho. Hatutawasikia tena.

Ni katika ndoto na maono yangu. Nikaona upande wa Kusini Magharibi mwa Tanzania, eneo lenye baridi nyingi, kilimo cha migomba na ardhi yenye maji maji.

Kijana amewekwa katika nyumba yenye watu wengi wenye miraba. Wanamlinda na wanataka asitoke kabisa nje. Anahangaika sana na moyo wake ukisutwa katika nyumba ile.

Ndipo nikaona watu kutoka mbali wakasikia kuwa yupo pale. Wengi wakaenda pasipokufanikiwa kabisa.

Hata nilipojaribu kuangalia aina ya watu waliomteka kijana huyu sikufanikiwa kuwafanisha hata kidogo ingawa imeonyesha ni watu binafsi tena wakitumia nyumba ya kawaida sana iliyo mbali na watu wengi, yaani kijijini.

Mods naomba maono haya tusiyaone kama kejeli ila ndo yatakavyokuwa hata neno hili litimie.
 
Mungu amlinde huko aliko katika mikono ya watesi na mwisho ghadhabu ya Mungu itawaangukia wote waliohusika kuratibu, kupanga, kutekekeleza na kufurahia.
 
Katika maono hayo alikuwa salama ingawa alikuwa amekosa uhuru na akitaka atoke huko. Mungu mwema sana atamtoa.

"Kusini Magharibi mwa Tanzania" ahsante kwa taarifa mkuu, wengi hawatokuelewa Ila Mimi nimekuelewa
 
Mwenye hoja achangie maana sitaki kuleta siasa katika hili.

Hili neno litatimia na wengi tutakumbuka yale yaliyosemwa kwa muda mrefu. Hajawahi tokea, ila itatokea. Mkiona haya mjue mwisho wa tawala na watawala umefika mwisho. Hatutawasikia tena.

Ni katika ndoto na maono yangu. Nikaona upande wa Kusini Magharibi mwa Tanzania, eneo lenye baridi nyingi, kilimo cha migomba na ardhi yenye maji maji.

Kijana amewekwa katika nyumba yenye watu wengi wenye miraba. Wanamlinda na wanataka asitoke kabisa nje. Anahangaika sana na moyo wake ukisutwa katika nyumba ile.

Ndipo nikaona watu kutoka mbali wakasikia kuwa yupo pale. Wengi wakaenda pasipokufanikiwa kabisa.

Hata nilipojaribu kuangalia aina ya watu waliomteka kijana huyu sikufanikiwa kuwafanisha hata kidogo ingawa imeonyesha ni watu binafsi tena wakitumia nyumba ya kawaida sana iliyo mbali na watu wengi, yaani kijijini.

Mods naomba maono haya tusiyaone kama kejeli ila ndo yatakavyokuwa hata neno hili litimie.
b066af4b46f609063ba4829649760b75.jpg
mgao waleta tafrani
 
Ngoja nijikumbushe Geography ya hii nchi
Jiografia itakusaidia Ila itabidi utambuzi wa ziada mkuu watu wa huko kabila gani, ukijua hayo rudia kusoma uzi huu vizuri, utaelewa huyu bwana anaongea nini, wajuzi tumetambua
 
Back
Top Bottom