Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanabodi Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Nichukue nafasi hii kutoa mtazamo wangu katika haya ninayoyaona miongoni mwetu Watanzania, hasa hasa kuhusiana na maendeleo. Nianze kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenye nacho hata kwa kukwapua tuombe waendelee kuwa nacho vinginevyo sisi tusionacho hatuweza kulisaidia taifa. Baada ya sisi tusiokuwa nacho tukilipwa ujira mbuzi na wenye nacho ndio tunapata...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habari wanajamvi,naomba kama kuna mwana JF mwenzetu ambaye anaishi kihalali United Kingdom,(UK)tuwasiliane kwa pm,kuna jambo fulani naomba kumshirikisha. Wasalaam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wachimbaji wa madini katika migodi midogo midogo kuwa makini kwani ongezeko la maji katika udongo linaweza kusababisha mmomonyoko wa ardhi na...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Kamanda wa Police Traffic nchini Fortunatus Musilim amekanusha taarifa kwamba Stika za Usalama zinalipiwa tzs 8000 na ukaguzi ni 15,000 amesema Stika hizo ni Buku Tano tu 5000 Tzs na mhusika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi sasa ile mizizi ya umoja ambayo Baba wa Taifa ali isimika inapotea, kwani kwa kiasi fulani imasababishwa na kule kujidai, kujua kwingi kwa mambo ambayo hayana tija kwa jamii yetu ya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Nimetoa pesa kwenye ATM ya NBC mchana huu. Cha kushangaza ndani ya dakika tano nitumiwa msg 3 mfululizo za pesa zilizotolewa kwenye account yangu. Nimeenda NBC kuwaauliza nini kilichojiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi ni nchi kumi bora ambazo Asiatic polisi wake wanaongoza kwa rushwa, 1. Kenya 2. Somalia 3. Sudani 4. Nigeria 5. Congo DRC 6. South Africa 7.Egypt 8. Zimbabwe 9.Uganda 10.Cameroon Hongera...
3 Reactions
80 Replies
9K Views
Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
NBS walitangaza nafasi za kazi kada ya Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi (Household Budget Survey - HBS), jumla ya nafasi 450 kwa nchi nzima. Utaratibu kwa waombaji...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es salaam inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya mauaji bila kukusudia inayomkabili Msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu...
1 Reactions
114 Replies
24K Views
Mwanasheria mwandamizi waTCRA, Philip Fulikunjombe amesema ilichofanyika kwenye sheria ya makosa ya mtandao ni kutambua mazingira kwani makosa ni yale yale akitolea mfano kutukana na wizi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Hapa kigoma vijana wamejiajiri kupitia bodaboda na imesaidia sana kiuchumi lakini kuna changamoto kubwa wanazo kutana nazo, kwanza wanakutana na abiria ambao cio watu wema na uwakodi na kuishia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maduka 15 ya pembejeo za kilimo na mifugo yaliyopo katika mji mdogo wa Katoro, Buseresere, Ushirombo na wilaya ya Mbogwe mkoani Gita, yamefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wamiliki wake...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangu nilipopost uzi kuhusu ujenzi wa jiji la sayansi, Teknolojia na Ubunifu yaani Tanzanite City kumekuwa na mitazamo na maoni tofauti tofauti kuhusiana na suala hilo. Wapo waliolichukulia suala...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Maana kwa hali ilivyo sioni kama kuna nia ya dhati ya vyombo vya usalama kuwafikisha watesi wa Mh. Tundu Lisu kwenye mkono wa sheria. Sasa, najaribu kuwaza kisheria kama inawezekana tu. Ikatokea...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani! Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine...
68 Reactions
695 Replies
70K Views
Juma Athman anayeishi Bagamoyo mwenye umri wa miaka 21 amelamba fedha taslim milioni 55. Juma ameshukuru kwa kupata hizo pesa na kuushukuru uongozi wa tatu mzuka kwa kuubuni huo mchezo kwani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MAENEO ya kusini-magharibi mwa nchi yanategemewa kuanza kupata mvua za masika kuanzia mwezi Novemba mwaka huu hadi Aprili mwaka kesho (2018). Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom