TCRA, IGP Sirro, Polisi: Utapeli - Pyramid Scheme WhatsApp kuna wizi

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,279
8,494
Kuna watu waanzisha magroup ya whatsapp na kufanya donation ya pesa kuanzia shs 10,000 ambapo mchangiaji analipwa 70% baada ya siku tatu. Lakini baada ya kuwa wamekusanya pesa ya kutosha wanatoweka na kuwaaacha donators wakihangaika.

Kuna hawa watu wanaojiita STRONG INVESTMENT wameanza huu utapeli wa mbinu ya Piramidi.
1. 0743443073
2. 0757965122

Hawa ndio ma-Admin na ndio wanaopekea pesa.

Tafadhali chukueni hatua kuokoa waTanzania wenye uelewa mdogo juu ya haya mambo.
 
Jambo la msingi ni watapeliwa kupunguza UPUMBAVU si lazima mamlaka tajwa zifanye kila kitu. Mnaaminiana vipi kwenye kundi la Whatsapp hadi kuanza kupeana pesa bila taratibu za kisheria!!?
 
Mkuu tatizo la uelewa wa watu wetu wengi bado ni sifuri kwa hiyo vitu kama hivi inadbid kuingilia kati. Ndio maana ya uhalifu na utambue kuwa wahalifu hawawezi kuingia sehemu iliyo imara isipokuwa sehemu dhaifu na hapo kwenye uelewa ndipo ulipo udhaifu wa watu wengi wanotapeliwa.
 
Mjinga ni kapu la mjanja siku zote , unaweza kumuonea huruma swala kuliwa na simba kumbe ipo hivyo by nature ili maisha yaendelee

Mi mtu akinitapeli na nikigundua nitamshkuru na kumuheshimu sana maana atakuwa amenitoa kwenye wimbi la ujinga
 
Ningekuwa igp uniletee upuuzi huo nakuweka lock up kwa siku 2

Mtu mzima na akili zake timamu tena kipindi hiki cha maendeleo na sayansi 2017 mtu from no where hamjuani eti unatuma elf kumi kumi ,yaani hatujuani ,hatujawahi kuonana nitakuamini vipi

Hao ni wapumbavu ,ningekuwa igp au police halafu uniletee upuuzi huo nakuweka lock up

Hata mtoto wa darasa la 5 anayesoma temeke wailes primary school hafanyi upumbavu huo kwanini mijtu mizima ndio inakuwa wapumbavu
 
Kumbe mandondocha bado yapo out there, unaenea mwaka sasa situmii mitandao mingine zaidi ya hapa JF
 
Tatizo lako wewe kwa vile unaweza kubonyeza keyboard ndo unajiona mwerevu haujui hajui kuna watu ni Zero brain kabisa na hao matapeli ndio wamewekeza huko.

Wewe usiyekuwa ndondocha unatakiwa kuwasaidia. Usidahni IGP Sirro ana akili mbovu kama ya kwako wakati hao ndondocha ndio wanalipa kodi inayoifanya serikali yako isonge mbele kuuelekea huo uchumi na dunia ya Sayansi.

Acha kuongea kama mtu ulieshushwa toka Marekani hauwajui watu wako.
 
Kumbe mandondocha bado yapo out there, unaenea mwaka sasa situmii mitandao mingine zaidi ya hapa JF

Ndondocha? Utakapokuta ndugu yako kaingizwa mjini ndo utatambua maana ya hilo neno ndondocha.
 
Mjinga ni kapu la mjanja siku zote , unaweza kumuonea huruma swala kuliwa na simba kumbe ipo hivyo by nature ili maisha yaendelee

Mi mtu akinitapeli na nikigundua nitamshkuru na kumuheshimu sana maana atakuwa amenitoa kwenye wimbi la ujinga
True true mkuu, na ndivo ilivyo hata mababu zetu walitapeliwa na wazungu kwa sababu za ujinga.
 
Tangu deci mpaka leo bado mnaibiwa? Watanzania ni nani aliewaroga? Mtu mzima kama ww bado unaibiwa kama deci?

WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA

Mtaibiwa mpaka Yesu arudi
 
sasa polisi itafanya mambo mangap???
vingne ni upuuzi wenu tu ww unampa pesa mtu humjui ww si ukapimwe akili

mtataka hadi wale wanatapeliwa karata tatu nao polisi wawasaidie akat tamaa tu za watu
 
Mkuu siyo kila kitu utasaidiwa na serikali, biblia yenyewe inatuambia tutafute maarifa na busara kwa namna yoyte ile, kama kweli hao hawawezikutumia akili na kujua kwamba hizi ni illegal pyramid waache waendelee kuliwa. Na wengi wao ni wale wanaotaka pesa za faster na kupingana na nature inayotaka tufanye kazi
 
Kuna mwingine nae alianzisha huo upuuzi akawapiga watu hela,,,me nilivyoona nikajitoa kwenye group, ,,, Sijui alikuwa anajiita AFRICA MASHARIKI GROUP, ,,,,
 
Mjinga ni kapu la mjanja siku zote , unaweza kumuonea huruma swala kuliwa na simba kumbe ipo hivyo by nature ili maisha yaendelee

Mi mtu akinitapeli na nikigundua nitamshkuru na kumuheshimu sana maana atakuwa amenitoa kwenye wimbi la ujinga
Nyota yako nimeona inang'aa njoo upewe ujuzi jinsi ya kuitumia,:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom