kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
Hivi unajua unaweza kupata kijiko au umma kwa shs 200 tu. Juzi nilikuwa na sherehe nikatumwa kwenda kununua vijiko na umma.
Sikuamini nilipopata vijiko vya shs mia 200.Hela niliyopewa kununulia vijiko na umma sikutumia hata nusu yake kwahiyo nikabakiwa na mshiko wa kutosha.
Lakini kichekesho ilikuwa wakati wa kula chakula umma na vijiko vilikuwa ukibeba msosi mzito kidogo vinapinda na kukatika.