Nini kifanyike kuokoa CHADEMA isitoweke Bungeni?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Kuna kila ishara kwamba Chama Kikuu cha Upinzani nchini chadema kinafifia na kuelekea kutokweka kabisa 2020, sasa hili siyo jambo jema sana kwa demokrasia ya nchi yetu hata kwa taswira ya nch pia nje, kwani tunahitaji Upinzani pia, sasa nini kifanyike kuiokoa isiadhibiwe na Watanzania? Najua kusema kufunga Gavana spidi ya Raisi Magufuli na CCM hilo haliwezekani kwani pia tunahitaji nchi yetu iendelee, ...
 
Kama wanajiamini ccm wahurusu siasa huru na tume huru, vyama vifanye mikutano kwa mjibu wa sheria baada ya hapo ikitoweka tutasema Kweli mnapendwa nje ya hapo ninyi ni wakora!
 
Kuna kila ishara kwamba Chama Kikuu cha Upinzani nchini chadema kinafifia na kuelekea kutokweka kabisa 2020, sasa hili siyo jambo jema sana kwa demokrasia ya nchi yetu hata kwa taswira ya nch pia nje, kwani tunahitaji Upinzani pia, sasa nini kifanyike kuiokoa isiadhibiwe na Watanzania? Najua kusema kufunga Gavana spidi ya Raisi Magufuli na CCM hilo haliwezekani kwani pia tunahitaji nchi yetu iendelee, ...
Ngoja kitoweke kabsaaaaa tubaki na Chama chenye uhakika na maendeleo yapatikane.
 
Lazima watoweke kwani ninyi mmegeuza siasa kuwa uwanja wa vita vya risasi za moto badala ya ushindani wakisera. Maisha ya Watz ni muhimu kuliko siasa uchwara ni bora mbaki wenyewe mkose wakuwaua kwa kisingizio cha uzalendo.
 
Wazalendo wa chama bado hawajazaliwa pesa mbele kwanza
 
Dawa pekee ni lazima chadema kife kamza upinzani wa kweli uzaliwe upya, kwa chadema hii ya dj tunajidanyanya!
 
Kuna kila ishara kwamba Chama Kikuu cha Upinzani nchini chadema kinafifia na kuelekea kutokweka kabisa 2020, sasa hili siyo jambo jema sana kwa demokrasia ya nchi yetu hata kwa taswira ya nch pia nje, kwani tunahitaji Upinzani pia, sasa nini kifanyike kuiokoa isiadhibiwe na Watanzania? Najua kusema kufunga Gavana spidi ya Raisi Magufuli na CCM hilo haliwezekani kwani pia tunahitaji nchi yetu iendelee, ...
Ishara zilizopo ni changamoto zinazopelekea upinzani kujipanga na kuibuka upya. Na bila shaka udikteta uchwara ukisimama tu kutakuwa hakuna wa kuwashika upinzani.
 
hata sitamani chadema ife, nafikiri kuna mazuri pia kutoka kwao na ccm bila watu wakuwa challenge watajiacha sana, kwanza uwepo wa upinzani hasa chadema pale bungeni ni burudani tosha.
 
Wananchi hawana shida na watetea mafisadi chadema
 
Naona watu wanaanza kupotezea nyuzi zako sikuizi, anza upya sio kila siku chadema.
Unawashwawashwa tu
 
Back
Top Bottom