Hivi Sadaka zinaweza kuzidi makusanyo ya kodi

Hivi Sadaka zinaweza kuzidi makusanyo ya kodi

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,462
Reaction score
4,801
Wanabodi;
Nawaza tu hivi makusanyo ya sadaka katika nyumba za ibada yanaweza yakazidi makusanyo ya kodi na maduhuli kwa serikali?
 
kwaiyo unataka aanze kulipisha sadaka kodi? lol hachelew rambi rambi tu kazipiga
 
Haizidi hata robo... Sadaka Yenyewe italipa kodi serikalini pale zitapofanya manunuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom