Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Can nuke slip out of Iran, or the former USSR, or now North Korea, into the hands of Al Qaeda, ISIS, or another group, that would not care much about getting caught. They have nothing to lose...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Naomba kama kuna mtu anafaham hii kampuni ya BIMA inaitwa BRITAM.. Je!nikampuni ambayo sio longo longo wakuu..nataka nifungue bima ya gar..msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wenzangu sheria inasema kuwa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wasibebe mishikaki na badala yake wabebe abiria mmoja lakini naona kama sheria hii haisimamiwi vizuri na wahusika kama...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mungu aipe faraja familia yake maana hatunae kwa sasa. Huyu mtaalamu ilikuwa ni mwiko kuanza kufundisha kabla hajatupa masomo ya uzalendo na updates mbalimbali za nchini na duniani. Ni mwalimu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tukubali tukatae,mama huyu ni lazima atakuwa na mchango mkubwa katika maisha ya kisiasa ya Tundu Lissu na changamoto zake hasa katika zama hizi ambako tuko katika siasa zinazoonekana kutishia...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari wana jamii, poleni na majukum mliyonayo ya kuhakikisha mnasukuma gurudumu la maendeleo yenu na taifa kwa ujumla. Naomba kurudi kwenye maada bila kukawia nisije nikasahau lengo la hii...
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Serikali imeongeza muda wa mwisho kwa wamiliki wote wa machapisho kupata leseni na baada ya muda huo machapisho hayo hayataruhusiwa mpaka yatakapokamilisha taratibu husika na watakaokiuka watakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Barabara za lami karibia 75%! Ubora wa huduma za kijamii 75% Ujalifu na usikivu kwa wananchi wake 100% Kuwashughulikia wakorofi na wasaliti 2000% Viongozi wachapakazi ambao ni zao la CCM 100%...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Maulid kitenge Leo akiwa live EFM Radio amehoji upya namna alivyopigwa Risasi Tuntu lisu, Msikilize hapa:
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari iliyosambaa sana kutoka Dodoma kuhusu Mwenyekiti wa Mtaa wa Mtakuja kata ya Chang’ombe Issa Yusuph kudaiwa kufanya upendeleo na kugawa viwanja kwa Wanawake wenye makalio makubwa. AyoTV na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Viwanda vya pamba kufungwa kwa kukosa malighafi. Je ujenzi wa uchumi wa viwanda unazingatia msingi wa malighafi endelevu? Wajuzi wa mambo mtujuze hapa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani hili tatizo sasa linaenda mwezi wa tatu na hakuna lolote linalofanyika hadi tunadhani kwamba labda mnatufanyia makusudi au mnatukomoa tu Sisi Watumiaji wa hizi Vocha zenu za Chuo. Ukiweka...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu . Tujadili kwa mapana , inakuaje unaacha kupeleka kero yako kwa watendaji kama wakurugenzi na wawakilishi wenu? Unakosa ujasiri wa kuwaona watendaji wa serikali mnakimbilia kurekodi vitu...
3 Reactions
89 Replies
7K Views
Dawa hizo zinatumika kuzuia na kutibu magonjwa nyemelezi kwa wagonjwa ambao wana kinga (CD4) chini ya 350. Aidha mpango huo, utaondoa matumizi ya vitendanishi vya kupima CD4 nchini na badala yake...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Maprofesa wa Tz wanaishi kwa stress sana na hawana pesa wala nini.Ni watu wa kulalamika ovyo na kushinda wakisoma vitabu visivyoisha bila hata kusaidia watu maskini katika'kuleta'mawazo mapya...
14 Reactions
162 Replies
25K Views
Hawa jamaa miaka ya 1800 walikuja na mitumbwi midogo kutoka huko Muscat,Oman.Tukaletewa utumwa kama wengi tulivofundishwa kwenye somo la historia.Pia meno ya tembo tuliona yalivo anza kua...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Mtoto mwenye umri wa miaka 11 said Nassoro Abdala,mwanafunzi wa shule ya msingi Chuno katika Manispaa ya Mtwara Mikindani amejinyonga kwa kutumia mtandio,kwa kile kilichoelezwa kusababishwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wanabodi Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Nichukue nafasi hii kutoa mtazamo wangu katika haya ninayoyaona miongoni mwetu Watanzania, hasa hasa kuhusiana na maendeleo. Nianze kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenye nacho hata kwa kukwapua tuombe waendelee kuwa nacho vinginevyo sisi tusionacho hatuweza kulisaidia taifa. Baada ya sisi tusiokuwa nacho tukilipwa ujira mbuzi na wenye nacho ndio tunapata...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habari wanajamvi,naomba kama kuna mwana JF mwenzetu ambaye anaishi kihalali United Kingdom,(UK)tuwasiliane kwa pm,kuna jambo fulani naomba kumshirikisha. Wasalaam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom