Mti wa mikosi na magonjwa

Mti wa mikosi na magonjwa

rungemba

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
76
Reaction score
6
Wanajamvi heshima zenu naomba kujua ukweli WA huu mti.. Nimeambiwa unahusishwa na mikosi. Magonjwa na mabalaa ktk nyumba ... Inatumika Sana Kama urembo na kivuli
1475820481794.jpg
 
Watu wamepotezea hii thread, lakini namimi nimelisikia leo hili jambo ikabidi ni search JF
 
Samahani mtoa sijui wewe ni dini gani ila kwa mimi Mkristo ambaye nimeokoka ninaweza kuishi hata makaburini na majini wakakimbia sembuse huyo mti!!!

Acha hizo imani potofu mkuu
 
Back
Top Bottom