Tukio la Lissu linatuonyesha ukuu wa Mungu

Tukio la Lissu linatuonyesha ukuu wa Mungu

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
Kwa tukio la Lisu linatuonyesha kuwa ni jinsi gani neno kweli lilivyo na ghalama mbele ya wapinga Mungu.

Kwa historia yeyote ile haijawahi kuwa nzuli kwa wapigania kweli toka enzi za manabii mpaka kwa wapigania haki wa leo sasa basi.

Kwenu nyie wapambe wa shetani
Kitendo mlichomfanyia Lissu kwa
taarifa yenu mmemtengezea njia ya kwenda ikulu ili haki ikaonekane na ole wenu nasema ole wenu!!!
 
Kwakweli hata mimi mpka sasa nashangaa mtu kupigwa risasi 30 awe mzima?? GROLY TO GOD
 
Kuna watu wanaweweseka balaa wanaposikia TL anapata nafuu... Majeshi ya Ulinzi ya Mungu ni mengi yanayomlinda Tundu Lissu..

Pona mapema TL
 
Nimejifunza pia kuwa tunahangaika kwa kuwa hatuujui ukuu na mapenzi ya Mungu. Tunajifanya miungu na kumiamini tunaweza fanya chochote kwa wanadamu wengine bila kujua yupo Mungu na mapenzi yake kwa watu wake
 
Hakika Mungu uliyemuonekania Lisu unanijua vema naomba uniponye nami katika jaribu nalopitia eeh Mungu unisikie
 
MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI HASA KWA WAJA WAKE KAMA TL
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Jamani Lissu amepata nafuu.Acheni tumwone Mungu.Watu wengine moja tu au mlio tu anakufa?Yesu pale msalabani aliwasamehe wote na aliwaombea msamaha.Watu walifanya hiki kitendo hakika wataokoka kwani Mungu atafanya muujiza wake kwao na hawatakaa waue hata nzi kwa mikono yao au hata kea kufikiria.
 
shetani hajawahi kuwa mkubwa kuliko Mungu
 
Back
Top Bottom