kesssyelias
JF-Expert Member
- Jul 13, 2017
- 280
- 316
Wadau
Nimetoa pesa kwenye ATM ya NBC mchana huu. Cha kushangaza ndani ya dakika tano nitumiwa msg 3 mfululizo za pesa zilizotolewa kwenye account yangu.
Nimeenda NBC kuwaauliza nini kilichojiri wameniambia kweli pesa zimetolewa nijaze fomu wanafuatilia kwa tatizo lilotokea na pesa zitarudishwa.
Sasa wadau kwa hili janga najua wengi wanaendelea kuumia. Wameniachi buku mbili tuu….....