Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mods Please huu uzi msiuunge sehemu nyingine kwanza nipate majibu. Habari zenu wadau. Tafadhali naomba kujua ipi ni bima ya afya yenye unafuu kidogo kwa mimi mtanzani mwenye kipato cha wastani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda kuwauliza na kuomba kufahamishwa kuhusu hii kampuni ya Mike rowland tanzania limited kama kuna mtu anafanya au amewahi kufanya kazi au kuisikia kampuni hii anielekeze yafuatayo Maswali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika. Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Nasoma gazeti la Tanzania Daima uk wa 6, kwamba wanajeshi wastaafu wana faraja kubwa hasa baada ya serikali kusikiliza maombi yao ikiwa ni pamoja na kuzikwa kijeshi na kuwalipa mishahara baada ya...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini yaani Takukuru imetilia shaka mchakato wa vitambulisho vya Taifa NIDA, aidha hali inaonyesha kuna ukiukwaji wa mchakato wa mkandarasi na hivyo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kicha cha habari chahusika,yapata wiki tatu kama sio wiki nne magazeti tajwa hapo juu hayaonekani kabisaaaa kwenye ulimwengu wa magazeti Tanzania kulikoni? hii ni dalili mbaya kwa kwa tasnia ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waumini Wa kanisa la ufufuo na uzima Leo wameliteka jimbo la kibamba wakiwa na mafuso zaidi ya ishilini wakigawa vipeperushi kwa watu wameingia hadi misikitini vipeperushi hivyo ni vya mkutano...
6 Reactions
127 Replies
19K Views
Huyu mama kwakweli ananifanya nimpende kwa kitu kimoja, haweki minywele ya bandia au midawa kichwani mwake kama wanawake wengi wanvyofanya! Big up sana mama yangu kwa kujali uafrika wako.
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Kuna mtoto wa miaka nane ameuawa na mama yake kambo maeneo ya Njoro, mjini Moshi karbu na Open university. Mama wa kambo alikuwa ana miezi takribani minne kwenye ndoa. Alikuwa anampiga sana mtoto...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari zenu wanajf. Leo nina maswali kadhaa ya kujadiliana. Miezi michache iliyopita mkuu wa mkoa wa dar es salaam alianzisha kile kilichoitwa vita ya madawa ya kulevya na akadhalilisha watu wengi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni mwanasheria wa Chadema,mbunge wa Singida Mashariki na Raisi wa TLS
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nawauliza kama mnataarifa juu ya minada ya korosho inaendeleaje? nadhani mwaka huu tutauza hadi 4000 kwa kilo.....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya humu wana jamvi, Ni matumaini yangu mnaenjoy kabisa sikukuu hii ya leo na maadhimisho haya. Binafsi naenjoy kwani nakaa nyumbani bure tuu na hili ni furaha kwangu. Leo naomba...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Imekuwa kero sana kutumia huduma za Tigopesa,tangu sasa natupa line yao,na wengine mliokerwa na huduma zao kama mimi tupeni kabisaaaaaa!!! Ni hivi,nilifanya muamala wa kutoa pesa kwa wakala...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Gazeti la Leo tarehe 17/10/2017, ukurasa wa kwanza kuna picha kubwa ( sketch plan ) ikionyesha muonekano mpya itakavyo kuwa stendi ya mabasi ya mikoani ubungo amabao michoro hiyo inaonyesha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa, 1:mbingu imetengenezwa na nini? 2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu. 3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu...
4 Reactions
95 Replies
8K Views
Sheikh mkuu wa mkoa wa Morogoro, Abdallah Mkangambe afariki dunia wakati akiwa anapatiwa matibabu Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili. Mazishi ya kiongozi huyo kwa Kiislam yanatarajia kufanyika...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini! nipo Arusha Mjini, ngependa kujua sehemu gani wanafundisha lugha kama Kifaransa,Kireno,Kichina au ki-spanish, etc. Kama unajua plz naomba msaada wako.. Shukrani!
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Polisi hasa wa usalama barabarani hawana sifa yoyote ya maana tokea kwa wananchi wowote wenye kumiliki vyombo vya moto. Hii ni kwa sababu wao wameendekeza faini tu na nyingi zake ni za...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam jf. Jamani nashindwa kuelewa hawa wezi ni watu aina gani katika maisha haya ya kila siku tunayoishi, kwa sababu nashindwa kushangaa! manake napigwa na butwaa pale nilipo muona jamaa...
0 Reactions
4 Replies
808 Views
Back
Top Bottom